Your 20s will forgive you for:
- Dating the wrong women.
- Sexually inexperienced.
- Being terrible at flirting.
- Getting rejected.
Your 30s won’t forgive for:
#TajiriLaKihaya
Mkuu,
Mzazi au ndugu wako wa karibu akipanda juu ghorofa ya 20… Aseme anataka Kujirusha chini Afe… Utakubali? Utamuacha ajirushe tu kisa kataka mwenyewe??
Lazima ufanye juhudi za kumuokoa…
Lissu lazima tutafute njia ya kumtoa gerezani…
Hata kwenye Movie- kiongozi mkuu akitekwa lazima wanajeshi wengine washushe silaha chini ili kuongozi wao asiuaWe!
Wanakubali kushindwa,wanaokoa uhai wa kiongozi wao… wanarudi Kujipanga Upya,wakiwa bado na kiongozi wao Hai!
Uhai kwanza💯
TAL sio Yesu- afe kwa dhambi zetu!
Kama kweli gerezani ni kuzuri… basi wote twende na sisi tukae gerezani!
Hao wanaharakati uchwara wenyewe wanaogopa gereza kama nini…
Huyo maria sarungi alichukuliwa na wacheza movie tu pale nairobi.. baada ya lisaa walimpata tayar kajikojolea..
Hao wengine sasa hivi hata chooni wanaogopa kwenda… na wapo nje ya tanzania!
Kama wanaona ni rahisi basi na wao waje wakae na lissu gerezani!
sio nasema haya nafurahi hapana… ila namaanisha kwamba Usitake mwenzako a sacrifice kitu ambacho wewe haupo tayari kukisacrifice!
Huo ni unafiki na usaliti!
#TajiriLaKihaya
Kwanza kabisa, hakuna mtu asiyetamani utawala wa sheria. Kila Mtanzania anatamani haki, usawa, uwajibikaji na nchi inayoongozwa kwa misingi ya Katiba na sheria. Hilo halina mjadala.
Lakini turudi kwenye uhalisia. Nani hasa anapambana, na kwa njia zipi?
Ukimtoa Mwenyekiti Tundu Lissu, ni nani mwingine leo yuko tayari kuweka maisha yake rehani kwa ajili ya haya tunayoyazungumza?
Hata maandamano yanapoitishwa, mwitikio wa wananchi si ule tunaoutarajia. Watu wengi wanaangalia familia zao, kazi zao na namna ya kuendelea kuishi. Huo ndio uhalisia, hata kama hatupendi kuukubali.
Tujiulize pia,Watu waliuawa. Familia zao ziko wapi katika mapambano ya kutafuta haki ya wapendwa wao? Tumewaona wakitoka hadharani kudai haki? Au wale waliopoteza maisha hawakuwa na ndugu, wazazi na watoto? Haya ni maswali magumu, lakini ni lazima tujiulize.
Tuseme tarehe 6 Lissu akahukumiwa. Je, tuna matarajio gani kwa wananchi? Kwamba nchi nzima itasimama? Kwamba watu watajitokeza kwa maelfu mitaani? Ukweli ni kwamba huenda kukawa na hasira, mijadala na hashtag mitandaoni kwa siku chache, halafu maisha yataendelea. Si kwa sababu watu hawapendi haki, bali kwa sababu hali halisi ya jamii imebadilika.
Ndiyo maana ninadhani Godbless Lema yuko sahihi anapozungumzia Strategic Engagement.
Kuna tofauti kati ya kukubali dhuluma na kutafuta njia ya kimkakati ya kuimaliza. Kuna tofauti kati ya kusimamia misingi na kushikilia mbinu moja hata pale ambapo haizai matokeo.
“NJIA HAITOKI…”
Angalia dunia:
Iran na Marekani, pamoja na uhasama mkubwa na mapambano makali, bado milango ya mazungumzo ya kidiplomasia imekuwa ikitumika.
Urusi na Ukraine wamekuwa vitani kwa miaka mingi, lakini mazungumzo na juhudi za kutafuta suluhu hazijaondolewa mezani.
Hata katika migogoro mikubwa zaidi duniani, mazungumzo si ishara ya udhaifu. Ni sehemu ya kutafuta suluhu.
Kwa hiyo, kwa nini sisi tuone mazungumzo kama usaliti?
Strategic engagement haimaanishi kusahau waliopoteza maisha, kufuta madai ya haki, kuhalalisha yaliyotokea au kuachana na misingi ya demokrasia. Inamaanisha kutafuta njia zinazowezekana za kufungua milango, kupunguza madhara na kupata matokeo.
Tusisahau jambo moja. Mapambano si lazima yawe na sura ya maandamano, migogoro au watu kupoteza maisha. Wakati mwingine ushindi mkubwa ni kupata haki bila kupoteza maisha mengine.
Mwisho wa siku, siasa zipo kwa ajili ya watu, si watu kwa ajili ya siasa. Wananchi wanahitaji haki, lakini pia wanahitaji kuishi, kufanya kazi, kulea familia zao na kuona kesho yao.
Kusimamia misingi ni muhimu, lakini kuwa na hekima ya kuchagua njia ya kufikia hiyo misingi ni muhimu zaidi.
Maisha lazima yaendelee, na haki lazima ipatikane.
@EsirEid Hapa umemaliza Kila kitu. Asiyeelewa hapa ana mtindio wa ubongo. Maria na Wasenge wenzake wapitie hapa wasome andiko hili, Tuendelee kuona kama Wana akili au wajinga bado.
#TajiriLaKihaya
Kwanza kabisa, hakuna mtu asiyetaka uwajibikaji. Hata mimi nataka wote waliohusika wawajibishwe.
Lakini swali la msingi ni hili: NANI ATAWAWAJIBISHA?
Je, tuna mkakati gani wa kuhakikisha hilo linatokea? Tuna nguvu gani ya kuwalazimisha wawajibike? Au tunasubiri miujiza?
Kuendelea kubaki hivi hivi kunawanufaisha zaidi CCM, wakati CHADEMA ndio wanaoendelea kubeba gharama za mgogoro huu.
Serikali inaendelea na shughuli zake, taasisi zinaendelea kufanya kazi, shughuli za kiuchumi zinaendelea, wananchi wanalipa kodi na maisha yanaendelea kama kawaida.
Ukweli mchungu ni kwamba wananchi wengi wame-move on. Mtaani hakuna kilichosimama. Watu wanaendelea na shughuli zao kana kwamba hakuna kilichotokea.
Na hapa ndipo tunapopaswa kujiuliza, Je, sisi wananchi tuna nia ya dhati ya kupigania kile tunachokidai?
Kama tungekuwa na mshikamano na dhamira ya kweli, tungeweza kutumia nguvu ya wananchi na uchumi kama njia ya kudai mabadiliko.
Fikiria kama kwa mwezi mmoja, wafanyakazi, wafanyabiashara, madaktari, walimu, wakulima na sekta mbalimbali zingekuwa na msimamo mmoja wa pamoja wa kushinikiza madai ya haki kwa njia za amani na zisizo na vurugu.
Kama shughuli za kiuchumi zingesimama kwa kiwango kikubwa, serikali ingepata ujumbe mzito kwamba wananchi hawako tayari kuendelea na mambo kama kawaida.
Lakini ukweli ni kwamba hatuna huo mshikamano. Kila mtu anaangalia maisha yake, jambo ambalo linaeleweka kwa upande mmoja, lakini linatuacha bila nguvu ya pamoja ya kushinikiza mabadiliko.
Sisi ni wazuri sana kwenye hashtag, Spaces, mijadala na kujifanya tuna misimamo mikali mitandaoni. Lakini linapokuja suala la kujitoa, kujenga mshikamano na kubeba gharama za kudai mabadiliko, wengi tunarudi nyuma.
Na niseme jambo lingine,
Huwezi kumwachia Lissu na viongozi wachache jukumu lote la kupigania haki za mamilioni ya Watanzania. Hilo ni jukumu la jamii nzima.
Kwa hiyo, mimi sioni maridhiano kama mbadala wa uwajibikaji. Naona maridhiano yenye ajenda ya wazi, masharti yanayotekelezeka, dhamana na utaratibu wa uwajibikaji yanaweza kuwa njia ya kutoka kwenye huu mkwamo.
Tusikubali maridhiano ya kufunika yaliyotokea. Lakini pia tusikubali kubaki kwenye mgogoro usio na mwisho huku wananchi wakiendelea kuumia na upande mwingine ukiendelea na shughuli zake bila presha yoyote.
Tusichanganye msimamo na ukaidi, wala tusichanganye maridhiano na usaliti.
Lengo si kuonekana tumepambana,lengo ni kupata matokeo.
@mangekimambi ambaye alijipatia umaarufu kwa kuwadhalilisha watu kwa namna fulani mwenyewe akiita connection ndio leo kawa mkombozi wenu
Huyu mtu alidhalilisha watanzania wangapi na kuwatoa thamani ya utu wao, eti leo mnampigia makofi sijui atawakomboa
Angalieni kwa makini hakuna mtetezi wa haki za binadamu Duniani anayewadhalilisha watu hasa wale anaodai kuwakomboa, hakuna mtetezi wa namna hiyo, kama yupo mleteni mbele
Akili zenu zimedumaa kama za funza
#TajiriLaKihaya
Ukisikiza Full Press ya LEMA…
Bila kufuatilia vipande vipande vinavyokatwa kimaksudi ili Kufit in Agenda za mtandao…
Utagundua LEMA ni mwanasiasa makini saana!
Mkweli na muwazi…
Na ndio maana Lissu alimuamini na Kura zake …
Lema Ni Hazina Kubwa saana Pale Chadema…articulate,well composed and a Visionary Leader!
Na wewe si urudi huko uje upiganie watanganyika, ni vile tu watu wa Nchi hii wengi wao ni wajinga ila kiukweli wewe ni miongoni mwa watu wapumbavu sana wanaopaswa kupuuzwa
@HildaNewton21 ni mwanaharakati mwenye uwezo mdogo sana wa akili
Pambalu kwa sasa yuko kizuizini, lakini leo hii kuna mtu anakuja na madai yasiyo na mantiki akidokeza labda kwamba Pambalu alitoa ushirikiano uliosababisha kukamatwa kwa Mwaipaya
Kisha yupo mpumbavu mwingine @MariaSTsehai ambaye anasambaza tena upuuzi huu ulioandikwa na mtu asiye na maarifa
Kama unaamua kujihusisha na harakati, hakikisha kwanza unaenda shuleni ili kupata maarifa