Kesho ๐๐ฝ๐ฅ
Tundu Lissu anaendelea kupeleka motoo! Wanatupotezea muda na rasilimali za umma #FreeTunduLissu
The sham treason triall of Tundu Lissu continues tomorrow
Waste of public resources!
#FreeTunduLissuNow
Watu wa Dodoma wananiambia, leo kibaraka wa Nduli Idd Amin Mama kaingia kanisa la Roman Catholic huko Dodoma, akaomba nafasi asalimie, wakamgomea.
Kanisa Katoliki halitaki usanii kabisa halafu mbona Viongozi wa Kanisa walishatoa Waraka kitambo sana kwamba ni marufuku wanasiasa kupewa mic sasa huyu Mkatoliki gani ambae hajui kuhusu hili?๐๐๐
โผ๏ธAlertโผ๏ธ
Nimejulishwa kwamba waliomuweka Emmanuel Nchimbi chini ya ulinzi, wamempeleka Dodoma na sasa wanaandaa hafla ya makabidhiano ya ofisi so siku yoyote kuanzia kesho, ataonekana hadharani akimkabidhi ofisi kijana wa Nduli Idd Amin Mama.
Wameamua kufanya hivi kwasababu wameona kelele zimekuwa nyingi kwenye mitandaon kuhusu.
#WhereIsNchimbi #FreeEmmanuelNchimbi
Leo Dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa kutekwa na kupotezwa kwa nguvu.
Kuna Watanzania wenzetu zaidi ya 450 wametekwa na kupotezwa mpaka leo hatujui kama wapo hai au wameuwawa.๐ฅน
Reminder:
๐๐พ
Zanzibar slave ancestry and the Tippu Tip legacy has been revived with the bloody handed rule of Samia Suluhu
I wrote this post in September before the massacre - and never got to finish the Medium article
Kuna wakati hadi najiogopa ๐ niliandika hii post kabla ya #MO29
Na kweli tumekuja kuona kwa macho yetu watanganyika wenzetu wakitumika na chotara wa kiarabu kutoka Zanzibar akituua bila huruma!
Leo tumekaliwa kimabavu na genge dogo linaloongozwa na wazanzibari!
Watanganyika tuamke!
#RestoreTanganyika
Leo tarehe 29 Agosti 2026 Mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN amesema KATIBA ya Tanzania ni NZURI kwa kuwa IMELETA UTULIVU. Hata hivyo, ILANI ya Uchaguzi ya CCM (2025-2030) imesema; โMCHAKATO WA KATIBA MPYA UTAANZA NDANI YA SIKU 100โ.
Kwamfano sisi wapinzani tukiamua kuendeshwa propaganda za kina makamu wenu na mambo mengine kwakuwa sasaivi ccm mmebaki nyie tu uku sisi ni zaidi ya robo3 je itakuwa tunajenga taifa la namna Gani? iindio maana unaambiwa ccm sasa Amna mwenye akili timamu ๐