@Maichagange Jamaa Kuna siku nlienda kwa jamaa amelalia staring, acha mwamba anpe bei kitonga nkasema huyu yuko poa,,,, Ile safar imeanza duuh, nlijuta mwamba alikuwa amelewa asubuhi yote akawa anayumba road vibaya na over kuovertake ovyo oyaa,,, ikabd nmkanye maana hatr sana
@davitheempire Tanzania tuna makamu wa raisi wa tatu
Wa kwanza, mgombea mwenza na rais aliyepo madarakani.
Wa pili ni rais wa zanzibar
Wa tatu waziri mkuu wa tz bara
@davitheempire Tanzania tuna makamu wa raisi wa tatu
Wa kwanza, mgombea mwenza na rais aliyepo madarakani.
Wa pili ni rais wa zanzibar
Wa tatu waziri mkuu wa tz bara