Wakati tunasikia mijadala kuhusu kuhalalisha ulimaji wa bangi, kuna hii habari ya mirungi (khat/chat) ni halali Ethiopia ikiwemo uuzaji wake nje ya nchi. Inasemekana kuwa inaingiza fedha nyingi sana za kigeni na inaweza hata kuzidi kuliko uuzaji na ulimaji wa kahawa.
Haya Mashangazi tweet hii ikiwai kupata like 1500 hii pochi itaenda kwa @MariaSTsehai ikiwai kupata retweet 1000 basi handbag hii itakwendwa kwa shangazi @fatma_karume zawadi itatolewa jumapil. Ni kazi ya mikono yangu jamani sio mchina
Jamani nyie @Tigo_TZ kweli mnataka tuendelee kuwa wateja wenu kwa Bando za 8MB,5MB kwa Elfu 1,000 karne hii ya Kidigitali?
MJITAFAKARI ...!
Rwetweet ujumbe huu uwafikie Mabosi wa @Tigo_TZ wapunguze kutuumiza watumiaji.
Michael Strain (Legal Director, Clyde & Co) presenting on how to do a deal in Tanzania, at EY/MMB organized PE breakfast event at Hyatt, Dar es Salaam.
"..naamini hizo fedha zimetumiwa na Serikali ktk matumizi mengine. Ni wajibu wa bunge kuiuliza Serikali ni matumizi gani hayo.Kama Serikali ilihitaji matumizi ya ziada nje ya bajeti, ilipaswa iliombe Bunge liridhie ndiyo itumie".Prof Assad(CAG).
@MariaSTsehai@zittokabwe@Chahali
@TECNO_Tanzania Tafadhali naombeni msaada ,natumia simu hii ya Tecno Camon CX kwa shida ,Screen inacheza nakukataa touch Mara kwa Mara ,nimeirudisha Tigo Quality Center wakaniambia niende Carcare ambao wamesema hawana screen za spare na hawajui zitakuja lini 3 weeks now @Tigo_TZ
You may need to explain the two photos,..and i am not saying i dont but i get the feeling many will attack you without that understanding https://t.co/x9f4ruuYKM
Boss this is not new ,we had the same arrangement before 30% C.T +16% F.I.S +3% Royalty+1% processing fee
Labda mwanzoni ilikuwa haipo 16% https://t.co/IsK4eD1Hni