@RahmaMwita ndio maana sipendi vitu vya kupewa, nikifanikiwa kupata changu huwa narejesha vya watu. she is still under scrutiny, hana uhuru wa hicho alichopewa kama zawadi au huenda wewe ndio una uelewa mdogo wa matumizi ya vitu kama hivyo. just saying, that ain't right at all. ain't right
@GraceNguo mimi najua kuendesha gari, hata manual ila cheti sina wala leseni. si fresh? pia, ungeandika hata akina 'panny' sio lazima awe 'nanny' pekee yake. tumelea wadogo zetu wazazi wakiwa mbali muda mwingi enzi za utawala wa Mwinyi 😁🤝🏾
@rasoulHK @maloneHimself @TheSlyStallone mimi kama ni mmoja kinapigika mpaka mmoja aamue sasa inatosha, mwishoni tufungue chupa ya whiskey tugonge cheers kila mmoja ampe heshima mwenzake kuwa mazoezi yalikuwa na tija. nje ya hapo anijie na kikosi tu 😁🤝🏾
@ommyfitness akisema 'thank u', kuna namna umetengeneza mazingira ya yeye kutothamini kile umempatia free of cost. aliomba umsaidie sema hukugundua kama ulikuwa unasaidia au unatoa hongo 🤣
@rasoulHK @maloneHimself huwa tunahofia kikosi kutumwa wakati hakuna mahali utapata silaha kama kwenye movies za @TheSlyStallone. kungekuwa na mahali zinapatikana, hao kinachowabeba ni ukakamavu hakuna kingine nasi maisha yametujenga kuwa warriors tayari 😁🤝🏾