@Kephawao@MkulimaKante ankoo....wagonga ulimbo hatuanzi na jengo....tunakodi tukijipata na kusoma ramani ya location ndo tunajenga....mdogo mdogo mamb yanasonga
@Mhuri93@MkulimaKante sema ngoja tuweke apa kwa faida ya wote, microscope 550k,centrifuge 300k,fridge 350k,meza na viti 350k,decoration ya maabara pamoja na sehem ya kufanyia test(bench) haizidi 1m, rapid test za kuanzia 300k...bango 200k unakua umemaliza
@Mhuri93@MkulimaKante apo sijazungumzia malaria ๐.....apo sija zungumzia typhoid na rapid test nyingine...alafu asa iv uzuri vipimo vingi unaweza kupima kwa kutumia rapid test ...mfano vidonda vya tumbo asa iv tunatumia damu au stool...iih sekta ya afya keki yake ni kubwa sana
@Mhuri93@MkulimaKante anko unajua watu wengi wanaogopa gharama za hospital sehem za uswahilin unajua wengi maisha ni unga unga mwana ko lazm aje kwako kikubwa uwe na shule kichwani na ukimtibu apone mfano:UTI kupima ni buku 3 kopo moja la strip za UTI unanunua 18k zinakaaa strip 50 piga hesabu faida๐
@BensonMukombozi@MkulimaKante ankoo mtaji sio mkubwa ukiamua unaweza....mchawi uwe na microscope na centrifuge.....vipimo vingne vyote unagonga rapid test
@Mhuri93@MkulimaKante ankoo sisi wagonga ulimbo hatuna uwezo wa kujenga jengo .....nimekodi fremu 2.....nikafanya decoration kiasi na kuweka vitu muhimu kama microscope,centrifuge,friji.....alafu chumba cha phlebotomy unaweka meza na viti 3 kwishaaa
@MkulimaKante ankooo kama una gamba la leseni fungua muweke dogo fresh from school ww endelea na mishe nyingne......nadhani ata mwenye bus la abiria hatakugusa kwenye mapato๐ฅ๐ฅ