@SuphianJuma Una uhakika wewe ni mwanasiasa? Unajua Kuna mstari mwembaba unaotenganisha mwanasiasa na kada wa siasa au mpambe wa wanasiasa? Jipambanue tumekuwa kwenye familia za wanasiasa bro tunaijua siasa kwa mwanasiasa sio rahisi kuandika hili andiko Kuna kitu unatakiwa uendelee kujifunza