@IsaRouhan13797@Mwlmp123 Utoa huu mnaona ni mbaya mpaka pale tapeli akishindwa kutoa pesa zako nyingi kwa mkupuo ndio mtajua kwanini banks wanafanya hivi.
I am deeply saddened to learn of the passing of His Majesty King Harald V of Norway.
On behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I convey our deepest and most heartfelt condolences to His Majesty King Haakon VIII, the Royal Family, and the people of the Kingdom of Norway.
May his soul rest in eternal peace.
Ninawatakia Waislamu na Watanzania wote kheri na baraka za Sikukuu ya Maulid. Kumbukizi ya siku hii njema ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) itukumbushe kuendelea kuishi kwa upendo, huruma, uvumilivu na kuwajali wengine.
Tusherehekee kwa amani na furaha, huku tukidumisha umoja na mshikamano wetu. Mwenyezi Mungu Mtukufu aendelee kuibariki nchi yetu, kuitunza katika amani na utulivu, na kutuwezesha kuijenga kwa maendeleo na ustawi wa wote.
Mawlid Al Nabi Mubarak.
Leo ni siku kubwa na ya kihistoria kwa nchi yetu ambapo nimezindua Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP), hatua inayotimiza maono ya zaidi ya miaka 50 ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, ya kuzalisha umeme katika Mto Rufiji ili kuchochea maendeleo yetu. Ninawashukuru watangulizi wangu, viongozi na watendaji wa Wizara na taasisi mbalimbali, pamoja na wananchi, kwa mchango wao mkubwa katika kukamilisha safari hii.
JNHPP ni kielelezo cha uwezo wetu wa kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati, pia ni ushahidi kuwa nchi za Afrika zikishirikiana zinaweza kufanikisha mambo makubwa yenye maslahi kwa watu wetu. Pamoja na manufaa mengine, mradi huu umeongeza uwezo wetu wa kuzalisha umeme hadi megawati 4,646, hivyo kutuhakikishia umeme wa uhakika nchini na ziada ambayo tutaiuza kwa nchi jirani, pia umetoa ajira kwa maelfu ya vijana wetu na kuwapa ujuzi na uzoefu.
Ninawasihi Watanzania kuchangamkia fursa zinazotokana na mradi huu, kutunza mazingira, hasa vyanzo vya maji, pamoja na kulinda miundombinu yake ili udumu na kuhudumia vizazi vijavyo. Aidha, nimeielekeza Wizara ya Nishati kuongeza kasi katika ujenzi wa njia za kusafirisha na kusambaza umeme, ili wananchi waone tija ya uwekezaji huu kwenye maisha yao na maendeleo ya Taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
To His Excellency Hakainde Hichilema, President-elect of the Republic of Zambia: on behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I extend my heartfelt congratulations on your re-election as the President of the Republic of Zambia.
I am looking forward to continuing working with you in strengthening the deep, historical and fraternal bonds between Tanzania and Zambia for the benefits of our people and our two nations.
Mr President-elect, you have my best wishes.
God bless you. God bless Zambia. God bless Africa.
Leo asubuhi nimepata heshima ya kuambatana na Mama yetu, Mama Maria Nyerere, kuelekea nchini Angola ambako pamoja na shughuli nyingine, tutashiriki uzinduzi wa Hospitali ya Rufaa iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Hii ni heshima kubwa kwa familia ya Mwalimu Nyerere na Taifa letu kwa ujumla, ikiwa ni ishara ya kutambua na kuthamini mchango wake wa kihistoria katika harakati za ukombozi na maendeleo ya Afrika.
TOYOTA HILUX NEW MODEL WHITE
Year: 2023
Auto Transmission
Engine Code: 2.8L 1GD
Mileage: 30,000kms
Colour: White Metarick Original
Sports Rims
Forg Lights
Winker Mirrors
Full Options Stering
Full Ac
Full Documents
https://t.co/b14fjK7put Free Reg
☎️0786 518866
RT 🙏
Ndugu ni chanzo cha mifarakano kwenye ndoa na hili wala halina ubishi. Wachache sana huwa na ule upendo wa kweli ila wengi ni wanafiki. Chukua maneno huku peleka kule na kuzusha mambo ya hovyo ili mradi tu amani ipotee nyumbani kwako. Ukiweza waweke mbali na nyumba yako.
SUBARU IMPREZA NEW
year ; 2013
color ; black
engine capacity ; 1560cc
low milage ; 96,000
Loc; Dar
Push to start
Gari ni mpyaa sanaa
exchange allowed ✅
PRICE 16.8 Million
☎️0786 518866
Kindly Report 🙏
UNATAFUTA LAPTOP YA BEI NDOGO ILA INA MWONEKANO WAKISHUA?
NEC versa pro
Core m3✅
Ram 4GB✅
Ssd 128GB✅
Processor 1.6GHz✅
Kioo inch 12.5✅
Charge masaa 3+✅
BEI: 300,000/=
DSM FREE DELIVERY
FREE WINDOW INSTALLATION
COMES WITH WARRANTY
☎️0788106694
DSM FREE DELIVERY