@Wakazi@Roma_Mkatoliki Wakazi anaweza kuwa sawa ana mashabiki wake, lkn Muziki wake sio rahisi hii leo akaufanya kwa watu ambao hawapo vzr sana kichwani kielimu. Haina tafsiri ya kwamba Roma hawezi kufanya hivyo big noo, Sema @Roma_Mkatoliki kajua mtaani kuna watu wa aina gn kacheza ma fursa hiyo.
@Wakazi@Roma_Mkatoliki Guys stop this Childish...Huwezi linganisha fanbase ya @Roma_Mkatoliki na huyu wakazi hata kidogo. Kwanza sijui hata mnawezaje kuwafananisha wakati wanafanya Rap za aina mbili tofauti. Rap anayofanya wakazi iko too segregative, kuanzia uandishi wake, sometimes lugha na mengineyo
@Kanjibai3 @Uhurubilamipaka Boss sijazungumzia chochote kuhusu hiyo mikutano ya hadhara, nilichofanya ni kukusahisha tu kuhusu Tamko la Mbowe na Taarifa ya Waziri kuwa ipi ilitangulia kutoka. Hayo mengine sijagusia kabisa