@AdamuMwassa@zittokabwe Maskini hujui ulisemalo maana huyo unasema dalali wa kisiasa yy ndie anaewamsha walolala kupitia maneno na maandiki yake alau watawala hakaelewa wanatakiwa wafanye nn.
@FreeDat83288348 @othmasoud Unafikiri hicho kipindi marehemu hakufanya jitihada ama kwa sababu hawakutoka naomba ukumbuke hata mbuyu ulianza km mchima leo hii hapa tulipofika ni jitihada alizoanzisha Maalim kipindi cha uhai wake
@SamoraJulius1@zittokabwe Naapa wewe ndio huna akili endelea na kutokwa na maneno maana unaloliongelea hulijui kabisa Ila unataka umaarufu an kampeni za #freemazrui zitaendelea monk pale atakapo achiwa huru
"Watanzania wenzetu 102 wamejeruhiwa kwa kupigwa risasi, mabomu pamoja na vipigo vya wanajeshi. Watu 32 kati ya hao wana majeraha ya risasi, kuna ambao bado wako hospitalini na kuna waliopata ruhusa. Waliojeruhiwa ni Vijana na wazee, Wanawake kwa Wanaume”
KC @zittokabwe