Simba imethibitisha kumuuza mchezaji wake Clotus Chama kwa miamba ya soka ya Morocco Berkane RBS.
Afisa Habari wa Simba Ezekiel Kamwaga amethibitisha hilo muda mfupi uliopita akisema rasmi Chama amepigwa bei.
Chama amekutana na Tuisila Kisinda kuitumikia Berkane RBS ya Morocco
Leo Ijumaa 13 Agosti: Freeman Mbowe, Mwenyekiti wetu anatarajia kufikishwa Mahakama ya Kisutu tena kufatilia kinachosemwa; kesi ya ugaidi.
Tufatilie kwa karibu.
#MboweSiGaidi#FreeMbowe#SiasaSiUadui
Tumewasili Dar es salaam tayari kuelekea kwenye madhabahu ya utoaji HAKI pale kisutu. Kimsingi tunakwenda kusikiliza kesi mbalimbali zitakazotajwa leo lkn zaidi kesi inayomkabili mwenyekiti wa @ChademaTz Mhe. @freemanmbowetz . Wananchi Wenzangu Twendeni Kwa Wingi Wetu.
Hivi wale wananchi waliopanga foleni kwenda kutoa maoni yao kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba, walikua ni RAIA WA NCHI GANI? Je, wakati huo walikua hawahitaji maji, elimu, umeme, barabara n.k? Vipi kuhusu lile Bunge Maalum la Katiba?
“Nenda vijijini(Pwani) kawaulize wananchi kama wanataka #KatibaMpya ”? @SuluhuSamia…#FactCheck wananchi wanataka maendeleo yote,kiuchumi, demokracia na mifumo ya haki, Rais alikuwa makamu mwenyekiti bunge la katiba, je kipindi hicho Pwani walipinga katiba mpya?. #ChangeTanzania
UHURU kufungiwa ni mkakati. Vitafungiwa vyombo vya habari hamtaamini. Wanatengeneza uhalali wa kuja kuminya vyombo vya habari. Hamasisheni watu kujoin SOCIAL MEDIA maana tutarudi nyuma miles nyingi sana.
#KatibaMpya#MboweSioGaidi
Agosti 10,2021 Mahakama ya Kisutu ilimfutia kesi Na.77/2020 mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Kilimanjaro @LembrusMchome baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kukamilisha upelelezi kwa wakati.
Akakamatwa tena na @tanpol na kupelekwa kituo cha Polisi Oysterbay, leo ana siku 3 mahabusu