Only the weak barks but the strong don't.... So you must become strong to make your opponent bark.
Don't be scared at all... and whatever makes you scared, keep your eyes open and face it ๐ช
Umegudia kitu?
Kila wakati kitu kikiharibika kinakua na thamani zaidi
Haya hebu tuambie kwanini unadhani kushindwa kwako ndo mwisho wako? Thamani yako inajengwa kutokana na changamoto na magumu ambayo unayapitia na kuyaelewa.
Maziwa hayawi mtindi ghafra tu. kuna mchakato.
Maziwa yakichacha yanakuwa mtindi. mtindi ni gharama kuliko maziwa
Mtindi ukiharibika inakuwa cheese. cheese ni gharama kuliko mtinindi.
Vile vile zabibu zikichacha, inakuwa wine. wine ni gharama kuliko zabibu.
Hivi mapera ya siku hizi nyie mnayaelewa kweli... yaani mtoto mdogo anakula mapera 10 na anaenda choo vizuri tu.. kwani yale mapera ya enzi zetu zilikuaga na nini ety!!๐ค