@HildaNewton21 Unadhan hata watu wakifunga biashara mwezi mzima anayeumia ni Samia?? Wanaumia babu zako na maskini wengine kwaiyo mmekomoa watanzania maskini sio viongozi.. akili zenu matope
@hamdan_ham70252@lifeofmshaba Pata pesa ndio utaelewa, ukiwa unanuka njaa ndio unajua utu, pesa ni kitu kingine kabisa. Ishu kama hizi natamani matajiri ndio walalamike, Maskini sisi tunawaza utu na kuanza kudiscuss watu sababu ya njaa tu
@AbrahamanMajen1@Labella_Mafia95 Zingine hizi roho mbaya tu na wivu 😁😁😁 pengine ukute ata ni amejitunza kuliko madem zako wote kuliko ata mkeo, just respect tu mtu usiemjua kuna Karma and karma is real
@Sativa255 NATAMANI DUNIA NZIMA ISITISHE MISAADA TANZANIA, HATUTAKUFA TUTAJIFUNZA KUJITEGEMEA KUTEGEMEA HAYA MASHOGA INATUCOST SANA KUNA PIMBI PIA KAMA NYIE
@HarryGodfirst@GPEChair HII NI UONGO MKUBWA SANA NINA WEZA HATA KUTOA USHAHIDI POPOTE.
VICKY HAKUWEPO KTK PAYROL AMEKUJA TAWA 2021 BAADA YA KUOMBA KURUDI KWENYE AJIRA NA NDIO ALIANZA KUPATA MSHAHARA UPYA TENA HUU WA TGS (NINA EVIDENCE MPAKA YA SALARY SLIP)
ACHENI ROHO MBAYA NA KUSINGIZIA WATU.