Mbunge watu wa kawe Mh Gwajima popote pale ulipo tunaomba ufike eneo la Makonde ulipoganyia mkutano wako na kuomba kura kwa Mama lishe na kuwahid kutatua changamoto wazozipitia katika lile eneo la wazi tunakuomba sana wasaidie wamama hao!
@kigogo2014 Kigogo nakuomba sana ebu tupelekee ujumbe huu kwa gwajima wamama lishe wa Makonde wananynyasika wakati anapita kuomba kura aliwaahidi atawatatulia changamoto wanazopitia katika eneo lao la kufanya bishara sasa waende wapi?? Aje awasililize au atume mwakilishi wake!
@millardayo Hahaaa sauti ya zege hapo umekosea sana yaan ccm imeipa heshima kubwa na mmekubaliana na matokea njaaa njaaa itatuuwa halima wewe nikiongozi umepoteza imani yako kwa wananchi
@AnanileaN Ndio hivyo ila kuna viherehere wamejipeleka kuapshwa sasa unajiuliza tulijuwa tunalia tumeibiwa wengine ndio hivyo wamekwenda bungeni unafiki mtupu
@Nnauye_Nape Ila msitegee kama kuna mwananchi atadamka tena kwenda kupiga kura kwa hili mmetia aibu kubwa watu wanaiba ila ibeni pale kwenye majumuisho sio mnaleta makura na mabegi
@Nnauye_Nape Yaan nilikuwa na kuheshimu sana kwa hili unechemka yaan kura mmeiba mchana kweupe Leo mungu ndio kawapa ubunge?? achen kutaja jina la mungu kwa uwovu wenu wa kuiba kura
@RadioOneStereo Yaan mmepoteza mabilion ya hela kwaajili ya kuwaondoa upinzan alafu Leo mnasema kuna viti maalum hiyo sio haki mmelikoroga sasa kunyweni wenywe watanzania tunaakili sana
Huyu ndio Mwana Mama Mathar Chiomba Mgombea Ubunge jimbo la kawe kwa ticket ya NCCR Mageuzi Mama mwenye kujali Utu changamoto za kawe nae anaziishi tumpatie mama huyu kura ya ndio Maana siku zote Mama ndio Mlezi wa familia 28/10/2020 tusifanye makosa
Huyu ndio Mwana Mama Mathar Chiomba Mgombea ubunge jimbo la kawe kwa ticket ya NCCR Mageuzi changamoto za kawe nae anaziishi tumpatie Mama huyu kura za ndio kwani siku zote Mama ndio mlezi wa familia tarehe 28/10/2020 tusifanye makosa tumchaguwe Mathar Chiomba
Huyu ndio Mwana Mama Mathar Chiomba mgombea wa Ubunge jimbo la kawe kwa ticket ya NCCR mageuzi changamoto za kawe nae anaziishi tusifanye makosa tena tumpatie Mama huyu ambae tunaimani nae kura za ndio Maana siku zote mama ni mlezi wa familia
@halimamdee Nasema hivi nyie endeleen kulumbana tu sisi wana kawe kura zetu tunampa Mwana mama Mathar Chiomba mama ambae hana gubu mambo yake yanapendeza sio wewe na Gwajiboy Mara anataka tena?? Mara kimepanda kimeshuka mama Naitwa Rashidi sasa hapo Mwana mama anapita
@Entreprehustler @nccrmageuzihq Unajua usione NCCR imekaa kimya hawa kujibu wana utu ingekuwa ni ccm magufuli angempeleka kimei vunjo??acha kujamba ovyo wewe tafakari kwanza ndio upenge kamasi lako pumbavu na nusu chama kimetulia hakitaki mikiki nyie mnaropoka tu bila kujua chunguza kwanza ndio ujuwe
@ngurumo Gwajiboy tafakari sana yaan umetoka kwenye utumishi unaingia kwenye uwongo?? Nakwambia hivi subiri malaika wa bwana watakapo kuchapa viboko vyako
@halimamdee Achen ebu tumpigie kura Mathar chiomba wa NCCR Mageuzi mwana mama anae jitambua changamoto za kawe nae anaziishi tuachane na hao wanao lumbana sisi tunataka kawe ya mabadiliko
@ProfHarryEnock @HecheJohn @IamJongwe__ @MsigwaPeter@halimamdee Kuna Dada anaitwa Mathar chiomba wa NCCR mageuzi ni hatari hakuna cha Gwajima wala mdee huyo Dada machachari hatari mchunguzen mtajua