Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi PETER MADELEKA natangaza rasmi KUACHANA NA SIASA ZA ACT WAZALENDO.Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI Inawezekana kama kila mtu ATATIMIZA WAJIBU WAKE.
I have decided to give a FREE LESSON to those who, by their IGNORANCE 👇, do not know the REAL meaning of ACTIVISTS and the NOBLE ROLE of Lawyers in serving JUSTICE.
Kihistoria muda wa kitu ukifika hauwezi kubadili tena.
Tangu zamani..
Muda wa biashara ya utumwa kukomeshwa ulipofika haikuwezekana kuzuia tena.
Muda wa uhuru ulipofika wakoloni walilazimika kuachia hizi Nchi, hata walipojaribu kutumia mabavu haikuwezekana..
Moyo wa wananchi umeishakataa CCM, Muda wa ccm umekwisha, bunduki, mabavu, mauji na utekaji haviwezi kubadili hali hiyo.
Kucheza na hisia za wananchi na mioyo ya watu ni kucheza na moto.
Uhalali wa serikali dhalimu hauwezi kuletwa na bunduki.
After 7 months of hard work across 3 countries, my team and I at @Spearhead_Af are pleased to announce that my new documentary titled 'What Happened On October 29' will premiere in Accra at the WAGMC Auditorium, University of Ghana, Legon.
It will also premiere in Dar es Salaam, Tanzania on Friday May 29, and in Nairobi, Kenya on Sunday May 31.
For the chance to win an exclusive free IV to the premiere (Accra only), kindly comment below and tag @joyfwen
Yesterday, @SenatorShaheen and @SenTedCruz introduced legislation requiring a review of the U.S.-Tanzania relationship.
“The United States must stand firmly for democratic principles, human rights and the rule of law.” -@SenatorShaheen
The full bill ⬇️
https://t.co/zs0PZ3ij9f
Matishio dhidi yetu ni halisi, tunayasikia na tunajua… unaposhindana na watu ambao wameshindwa kushawishi umma.
Wanabaki na njia moja tu, mabavu, mauaji, kuteka, kutisha na kubambikizia watu kesi..
Kwa uhakika yote haya yatashindwa na haki ya Mungu itasimama kwenye Taifa lake…
Watanzania msiogope tutashinda.
Asante Katoro
Kuna njama zinazoendelea za kutaka nihusishwe na mauaji ya James Temba, ambaye mwili wake uliokotwa ukiwa umekatwa kichwa.
Kuna accounts inaitwa @Sisimizi3 ipo X (Twitter), Facebook, Instagram na Tiktok imenitaja kwa jina na kuweka namba yangu hadharani na kusema kuwa ninahusika na mauaji hayo kwa kile alichokisema kuwa ni kutokana na mimi kumdai marehemu simu aina ya iPhilone 17, nimetekeleza mauaji hayo.
Nieleze kuwa, mimi sifanyi biashara Kariakoo kama alivyoeleza wala sijihusishi na biashara ya simu, kilichoelezwa ni uongo, hivyo sihusiki kwa namna yoyote ile na tukio la mauaji hayo.
Aidha, Jeshi la Polisi limeshaeleza kwa umma kuwa limeshawakamata watuhumiwa wa mauaji hayo.
Poleni ndugu, jamaa na marafiki maana wengi mmenipigia kutaka kujua ukweli juu ya hili.
@Nyakaiba@HecheJohn Yaani swali ni dogo tu " Mafuta tunayotumia yameingia lini nchini?" Je, nani amepewa Tenda ya kuingiza mafuta na Tenda hiyo amelinganishwa na nani?
Wewe kijana kibaraka wa cartels.
Wambie Watanzania mafuta yanayouzwa sasa yaliingia lini Nchini.
Je wakati yanaingia bei zilikua zimepanda?
Mafuta kusafiri kutoka yanakonunuliwa Mpaka kufika yanachukua siku ngapi?
Je mafuta yaliyonunuliwa baada ya vita na mtikisiko huu yameishafika nchini?
Usitumwe kusemasema tu kama umekatwa kichwa.
Nani anaeingiza mafuta Nchini, alipewaje hiyo tenda? Kwanini awe peke yake ? Alishindanishwa na nani?
On May 1989, #Iranian President Ali Khamenei visited 🇨🇳China and took a tour to the Great Wall in Beijing.
Later, he left China to🇰🇵#NorthKorea and then returned to Iran.
The very next month, Ayatollah Khomeini passed away, and Khamenei became the Supreme Leader, and has never left #Iran for any foreign trip.
His visits to China and North Korea became his last foreign visits.
In the Name of God, the Compassionate, the Merciful
Among the faithful are men who fulfill what they have pledged to Allah: there are some among them who have fulfilled their pledge, and some of them who still wait, and they have not changed in the least (Holy Quran 33:23).
@elonmusk But those white slaves were taken by the white slave master who were exploiting natural resources in Northern Africa. So, the blacks were not engaged in any circumstances to which led slavery. @elonmusk