Hotuba yangu leo katika Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), unaoendelea jijini Antalya, nchini Uturuki.
Nimetumia jukwaa hili kusisitiza maeneo matatu ya kipaumbele katika kufanikisha malengo ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ambayo ni:
1. Upatikanaji wa uhakika wa rasilimali fedha kwa ajili ya masuala ya mazingira.
2. Upatikanaji wa uhakika na nafuu wa nishati safi.
3. Kuendeleza maendeleo jumuishi na yanayohimili athari za mabadiliko ya tabianchi.
@mnange25@BillyTronix1 Unapambana vipi na rushwa kwenye taifa ambalo ukimreokodi traffic akipokea rushwa watu wanakutukana na kuleta mboyoyo za anafamilia asee Afrika shida kubwa ipo kwa wananchi na wala siyo Serikali