@MarekaMalili Kaka Mambo yote yenye KHERI,IBILISI ajawahi KUYAPENDA,tazama watu watazin miaka 10+ uwez kuta wanagombana sasa wakihalalisha tu VITA inaanza๐๐ปKHERI ni NGUMU MNO!
Kuna namna X wanazingua, Leo ndio nimekutana na request za wateja zaidi ya 30 ambao waliniDM kuhusu biashara, Wapo mpaka watu wa December 2025, kuna ambao watahisi niliringa kujibu DM zao lakini sio kweli, Mnisamehe sana, it wasnโt my fault kabisa, i think ni technical issues tu za huu mtandao.๐๐ฟ