Kuna namna unaweza hisi kuwa mtu anakitu anakuficha na anatumia mbinu ya kuchat kwa message za kawaida Ili usione
Leo naenda kukuonyesha step kwa step namna ya kufanya Ili uzisome bila yeye kugundua
Thread 🧵
Repost 🔄
Bookmark 🔖
Follow @techygaspar
Shuka nayo 👇🏾
FAT JOE NA MSANII WAMEPIGWA MIL. 900
Katika hali ya kushangaza leo nimeamini kweli biashara haihitaji ushikaji inahitaji weledi na kuaminiana ili kufikia malengo ya pamoja.
Ni wazi kuwa FAT JOE na MSANII ni watu wenye hisa za pamoja kwenye Mradi wa Redio ya WACHAFU FM na FAT JOE akiwa Mbia mwenye hisa kubwa 53% akiwa amempita hadi MSANII mwenyewe mwenye hisa 45% licha ya JOE kujiondoa kwenye shughuli za uendeshaji wa kampunI.
Wakati WACHAFU ikielekea kutimiza miaka 4 FAT JOE amekua hapati gawio lolote licha ya kuona kampuni inapata madili mengi sana, lakini alipokua akiuliza mbona sipati gawio mwanzonj akawa anajibiwa kuwa wengi wanakuja kutangaza na msanii ila wanaomba Media iwe kama Bonus na wakampa mfano ilivyokuaga PESPI na EATELI walimpa Dili Msanii ila kaa condition matangazo yao yapigwe Wachafu Media.
Kibiashara hii ni jambo la kawaida hata Mawingu kule ilikua ukiSponsa FEE-ESTA unapewa ofa ya kutangaziwa TV na Radio bure, kule FEE-ESTA ni Brand iliyokua inajitegemea na kuendeshwa na Kampuni ambayo si MAWINGU ilikua inaitwa (PRIME TAIMU), kwa hiyo ukiisponsa hilo tukio unapewa Free Airtime TV na Radio Plus na Watangazaji, (Maanake nini unapolipia Sponsashipu inakua calculated hadi kwenye Hadi TV na Radio.
Kwa hiyo FAT JOE kila alipokua akiuliza mbona hapati gawio akawa anapewa jibu kwa sasa, wengi wanatangaza kupitia Msanii ila wanaomba Media iwe kama Bonus FAT JOE kwa kuwa aliona Media ndiyo inaanza basi acha avunge tu.
Sasa amevunga kwa muda mrefu sa a almost miaka 2, hapati chochote ilipofika mwaka wa tatu WACHAFU wakamwajili Afisa Mahusiano, ambaye ni jamaa mmoja alimfanyia sana Kampeni Mzee MAMVI 2015 akiwa Ripota pale VTI anaitwa LAMECK, ili waweze kuiuza Media kwa Cooparate maana wakienda wale kina Nelly na Jamal walikua wanaonekana wahuni tu.
FAT JOE hakushirikishwa kwenye hili kwa sababu yeye hayuko kwenye utendaji wa kila siku bali anasimamia zaidi MAWINGU, kwa hiyo Msanii akamuajiri LAMECKY na akaanza kazi, kweli LAMECK akaanza kuiza BRAND kwa Cooparate Deals zikaanza kuja ofisini na ndiyo maana mliona WACHAFU FESTIVAL mwaka jana ilikua na SPONSA wengi kuliko Zote zilizopita kwa sababu ya Huyu LAMECK.
FAT JOE akauliza imekuaje FESTIVAL mwaka huu imefanya vizuri sana kuliko nyingine MSANII akamwambia tumefanya usajili wa jamaa anaitwa LAMECKY ametusaidia hivyo FAT JOE akapongeza akamwambia sasa kuanzia mwakani itabidi tuanze kugawana faida kila robo ya mwaka.
Ilipoanza 2024 yule BWANA LAMECKY kwa kushirikiana na mwenzake mmoja, simtaji jina maana yuko polisi muda huu kakamatwa walianza kumfanyia uhuni MSANII bila yeye kujua kwanza walisajili akaunti FEKI yenye jina la Kampuni ya WACHAFU MEDIA, wakawa wanawapa SPONSA waingize hela huko halafu huku Ofisini kwa MSANII wanasema jamaa wamekopa watalipa baadaye MSANII anakubali tu.
Sasa ilipofika Marchi 2024 FAT JOE akawa anasikilizia mzigo uingie kama walivyokubaliana anashangaa kimyaa ikabidi amtafute Msanii imekuaje mbona hujaweka Muamala kwenye Akaunti, MSANII akamwambia FAT JOE kiukweli biashara ni ngumu Kampuni nyingi zimetukopa hazijaweka mzigo.
FAT JOE akamwambia "msiniletee UNGESE, kesho tukutane na mje na mavitabu ya pesa ya mapato na matumizi" Msaniii akasema sawa mkubwa.
Kwa hiyo wakakutana katikati ya mwezi 4 hapo ili kuweka sawa mambo ya gawio, kufika pale ndiyo anaona Makampuni mengi yamekopa huduma kwa kuwa yeye ni mdau mkubwa akaanza kufanya Cheking kwa Viongozi wa hayo Makampuni ili ajue imekuaje hawajalipa muda mrefu, wale wakubwa wa hayo Makampuni ndiyo wanawaambia mbona tushalipa muda mrefu na Risiti hizi hapa ndiyo wanaona Akaunti ambayo ni tofauti na Akaunti rasmi ya ofisi, na wakaambiwa aliyefanya hivyo ni BWANA LAMECK.
FAT JOE akaagiza LAMECKY na Mshirika wake wakamatwe, ila LAMECKY alishtuka mapema alikimbia inasemekana yuko nje ya nchi muda huu na hata JOE wakati hakuonekana kwenye Msiba wa GADNA ilisemekana alienda nchi jirani baada ya kusikia mtu huyo yuko huko, inasemekana wamepiga kama Mil. 900
Oyaaa nimecheka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏽
Yani mwana anakusave mpaka we mwenyewe unashindwa kuelewa kaku-save aje😂😂😂😂😂😂
Tx-Dullah atengwe 😂😂😂😂🙌🏽
Video kwa Comments👇🏾👇🏾
Zijue Apps/Software/Websites 3 Ambazo Ni Kama Mihadarati,
Hutakiwi kuzijua kabisa kwasababu ni hatari Kwa afya ya watu wengine.
Gonga LIKE Kisha shuka na Uzi👇
Oii!, Acha Leo ni declare interests,Huyu jamaa ndio Hiphop Mc bora kabsa kwangu mimi Kibongo bongo, nakupa sababu:
1.Creative word play
2.Thought provoking lyricist
3.Delivary ya hatari.
4.Anae concise breath control mbaya
5.Anae rhyme scheme nzuri sana. #hiphoplives