siyo kweli jwtz haiko โpoliticized.โ wananchi wanaweza kweli wakawa wanaiamini kwa sababu zao binafsi, lakini siyo kweli kwamba ccm haijaribu kulitumia jwtz kufanikisha maslahi yake finyu ya kisiasa. hatujaona jwtz kuingia mtaani โkufanya usafiโ kufuatia tangazo la maandamano?
@Jambotv_ wanachohubiri ccm(Nape) ndicho kilichoandikwa hapa
mwandish hazungumzii nin chanzo cha kufa kwa vyama vya upinzani
kaanza mbali sana ila lengo lake ni kulazimisha kuonesha kuwa ndani ya cdm kuna vita kali ambayo lazima cdm isambaratike
huyu anapaswa kukibiwa kwa hoja
@afrika398495@RahmaMwita seeikali ilichangisha tetemeko kagera ela wakala hazikuwafikia walengwa
lete ushahidi kuwa niffer hasingefikisha ela kwa walengwa
ili tujue mwizi serikali au niffer au wote kwa pamoja
vinginevyo umeamua kukaa upande wa majambazi kama siyo wauwaji
@shaffihdauda1 na ww kwa ubongo huu unaotumia hapa unaitwa baba
punguza uchawa acha tamaa ridhika na kidogo unachopata
hiyo lazima umeipata wapi ? kama siyo kushindwa kufikiri
stars wanatakiwa wafungwe hata goal mia then tumshukuru mama kwa pamoja
"Polisi walikuja kunipekua nyumbani kwangu wasikute chochote, sasa wananipeleka kituoni Lindi wakidai wamepata taarifa nafundisha watu judo na karate kuhatarisha usalama wa Taifa na raia. Simu yangu inazima moto."
- Stephen Membe
Rondo Lindi
18.11.2024
@EduTalkTz Ni UDSM
jamaa anaitwa Dawson Kumbusho
mwaka 2017 alikuwa mwaka wa 2
alinusurika kutekwa pale Mlimani city na jamaa wa Noah nyeusi
tujiandae kupokea Siasa za majengo ya Kariakoo
@HabarimpyaTv baada ya kuulizwa swali kaanza "hivi wewe?" hapa alipaniki akataka kumvaa Kekeke pia kauli hiyo ni ya kumbeza Kekeke
hajajibu alichoulizwa
@Jambotv_ anaongea kwa kuwa anashirki hizi chafuzi au kapagawa?
huo mfumo wa kura za hapana aliupigania lini? au kaamua kubariki uchafuzi kwa lugha nyepesi
@Bwoisama mtoa roho angeonea huruma wanaokufa kwa uzembe wa serikali yake ,tusijitoe ufahamu tukabiliane na wazembe waliopo na namna ya kutatuta matatizo