Tutaukumbuka mwaka 2021 kwa kufanikiwa kuingia kwenye Bunifu 50 Bora Barani Africa katika Sekta ya Elimu. Mafanikio haya ndani ya mwaka wa kwanza tangia tuanze Huduma ni Makubwa sana. Tunashukuru wote mnaotupa support kwa namna moja ama nyingine.
ANNUAL REPORT: A year in Review of 29 Startups Breaking Barriers in 2022
~ Meet Said Mbondela, the Co-founder of @MapindiApp, an e-learning Platform that helps students learn different subjects in the tutorial video.
Access the report thru ➡️ https://t.co/2lLAoCE0uQ
MAPINDI tuna solution kwa Wanafunzi wenye changamoto ya lugha ya kingereza.
Tuko Jikoni kuanza Project ya Shule kww Shule kuwawekea Wanafunzi tutorials zetu ili waelewe vyema concepts ktk Masomo yao.
@JifunzeSwahili@HakiElimu@MabalaMakengeza
Mwanafunzi wetu mwenye juhudi hadi sasa anakomaa kukamilisha zoezi nililompa la kuandika Barua kwa kutumia MsWord. Ana wiki mbili hapa MapindiStore na hadi sasa maendeleo yake ni mazuri mno.
Tunaendelea kufurahia feedback tunazozipata kutoka kwa Wazazi. Wanafunzi wetu now wanaweza kufanya vitu kupitia Computer. Digital literacy kwa zama hizi ni jambo haliepukiki.
Sio likizo tu. Mimi wanangu hawatasoma tuition. I need them to build social skills. Tuition yao ni kujifunza coding kwa @MapindiApp au @silabu. Wajifunze networking, sales, marketing, business, money n.k. Tujenge vijana wanaoijua dunia, sio dependant na walalamishi gang.
Kazi ya kuendelea kujenga vijana mahiri wenye weledi na watengeneza ajira inaendelea.
Vijana wetu hua tunawaambia so long as umefika MapindiStore you will never be the same.
Giving them Exposure and access to the World class education.