"Unayopost leo mtandaoni siku moja yaweza kuwa rejea ya watoto wako, wakwe zako, viongozi wako kazini au wanaokufanyia usaili dhidi yako!." ~Togolani Mavura.
Ninachotaka kuwaambia kua kwasasa Mfumo wa data za uchaguzi umeunganishwa na Mfumo wa NIDA na mfumo huo umeunganishwa na mfumo wa CCM" Mpaka sasa zoezi la Uchaguzi CCM wameisha limaliza" -; Humphrey Polepole
Tupo mateka walai
"Kadri wengi wanapokata tamaa na kuishia njiani, ndio fursa hupanuka zaidi kwa wale wachache wanaopiga moyo konde na kuendelea. Daima wenye kujaribu ni wengi lakini wenye kufanikiwa ni wachache. Mafanikio hayana budi kusindikizwa na kupambwa na msafara wa wanaofeli."
@McinikaWaLamar Kwanza ajue hakuna kitu KIPYA duniani na aShike sana imani yake na maelekezo ya vitabu vya dini. Asiwe na haraka na maisha, jifunze kitu kingine cha Ziada ya vyeti vyako na tafta pesa kwa bidii utapumzika baadae.
Kijana mwenzangu usijisikie vibaya ukahisi umechelewa, kila mtu ana njia yake na muda wake. Ishi kwenye muda na njia yako, wakati wako wa kupata ajira, wa kuanzisha familia, wa biashara yako kustawi na kufanikiwa upo na unakuja. Endelea kupambana na mtegee MUNGU daima.
"Ukitaka kummaliza mtu msifie hadharani, kama hatavimba kichwa na kuanza kuharibu basi watakaosikia akisifiwa watammaliza kwa husda." ~Togolani Mavura.
"Daima tumaini kuwa maisha yako ya kesho ni bora kuliko ya jana. Matumaini hutusukuma kwenda mbele, mashaka huturudisha nyuma. Chaguo ni lako!" ~Togolani Mavura.