Swali muhimu:
Kama Samia Suluhu hajaonekana hadharani kwa wiki kadhaa hata kwenye arobaini ya mume wake - mikutano na teuzi zinaendeshwa bila ushahidi ya yeye kuwepo -
Je nani anafanya hizi teuzi???
Wamemficha rais haramu alafu Familia inawaletea vimemo ndo wanaendesha nchi?
Tuwe serious kama Taifa ambayo tunadai ina tassisi za ulinzi na usalama kama TISS na jeshi la wananchi!!
Huyu kimama kama hana uwezo wa kusimamia vikao na hata kutoa pua clearly hawezi kuendesha nchi!
We are in dangeroua territories!
Nawaambia tusipopambana mwezi huu kuhakikisha #MO29 tunaonyesha kwa nini Katiba inasema MAMLAKA YOTE HUTOKANA NA WANANCHI, basi nchi imekwenda! Vyombo vya dola kweli ni mali ya CCM tena ya Kizimkazi! We are om our own!
#SamiaMustGo #MO29 #TunatokaTena
Defending justice must never come at the cost of a lawyer’s right to practise.
The Pan African Lawyers Union (PALU) joins regional and international legal organisations in solidarity with Advocate Boniface Mwabukusi, President of the Tanganyika Law Society (TLS) amid disciplinary proceedings seeking his permanent removal from the Roll of Advocates for statements made on behalf of the Society.
We welcome the High Court’s decision of 7 October 2026 to stay the proceedings and call for full respect for that order while his constitutional challenge remains before the courts.
We call for the withdrawal of the disciplinary application, an independent and impartial disciplinary mechanism, and protection of lawyers’ right to speak on justice, human rights and the rule of law without intimidation or retaliation.
An independent legal profession safeguards everyone’s access to justice. Protecting it is our collective responsibility.
Read the full joint solidarity statement HERE: https://t.co/qr1eB0IR4F
#PALU #StandWithMwabukusi #RuleOfLaw #LegalProfessionIndependence #AccessToJustice

@MariaSTsehai Hivi walezi Wana effect yoyote halisi kwenye jamii? Mfano kama walezi hamna Kuna madhara?
Na kamati kuu ndo inateua Mgombea ubunge na siyo kura za maoni?
@MariaSTsehai Bila shaka ni makamu wa Rais haramu na CCM mtandao. Maana Kuna swaiba wake nawajua kabisa wote wamepeta teuzi mmoja amewahi kuwa mbuge ila awamu hii ya uharamia hawakuumpa. Mwingine ni binti DC ndugu yake kabisa na Ze Secondi Prezidenti 🤣🤣
Swali muhimu:
Kama Samia Suluhu hajaonekana hadharani kwa wiki kadhaa hata kwenye arobaini ya mume wake - mikutano na teuzi zinaendeshwa bila ushahidi ya yeye kuwepo -
Je nani anafanya hizi teuzi???
Wamemficha rais haramu alafu Familia inawaletea vimemo ndo wanaendesha nchi?
Tuwe serious kama Taifa ambayo tunadai ina tassisi za ulinzi na usalama kama TISS na jeshi la wananchi!!
Huyu kimama kama hana uwezo wa kusimamia vikao na hata kutoa pua clearly hawezi kuendesha nchi!
We are in dangeroua territories!
Nawaambia tusipopambana mwezi huu kuhakikisha #MO29 tunaonyesha kwa nini Katiba inasema MAMLAKA YOTE HUTOKANA NA WANANCHI, basi nchi imekwenda! Vyombo vya dola kweli ni mali ya CCM tena ya Kizimkazi! We are om our own!
#SamiaMustGo #MO29 #TunatokaTena
TUNATAKA HAKI ZETU💪
HIYO ILIKUA NI SAUTI YA MASHUJAA WETU LAST YEAR MO29
HAWA NDUGU ZETU SAMIA ALIUA KWA KURUHUSU WAPIGWE RISASI ILI AKAAOISHWE.
NENO: ULIUA ILI UTAMALAKI??
👇👇
Huyu alikua dereva wa kampuni ya mabasi ya Grren line Express .
Bwana Siraji Ndosi, wakati wa uhai wake aliwahi kurekodi video hii akielezea chanzo cha ajali nyingi za Barabarani Tanzania.
Nimeambiwa ajali ya juzi iliyohusisha lori na basi kugongana uso kwa uso nae alifariki Dunia.. ajali hiyo mbaya ambayo imechukua maisha ya Watanzania 28 kwa pamoja na wengine wengi kubaki na ulemavu wa kudumu.
Hapa Tanzania kwa namna ambavyo utu na ubinadamu wetu umekosa thamani watu wengi namna hiyo kufa ni jambo la kawaida tu.
Hakuna anaejali vinaandikwa vikaratasi na pole za uongo zisizotoka moyoni.
Hakuna anaechunguzwa ili kudhibiti ajali nyingine isitokee, hakuna anaechukuliwa hatua .
Tujiulize kwanini barabara za uchumi mkubwa kutoka Dar - Tunduma, Dar - Mwanza , Dar- Mtwara , Dar - Arusha na Makambako- Songea miaka 65 baada ya Uhuru bado ni vibarabara vyembamba na vimejaa mashimo tupu.
Ukweli ni kwamba hizo barabara zingekua mbilimbili kila upande tungekua tumeondoa au kupunguza ajali kwa asilimia 95, hakuna ajali za kugongana uso kwa uso kama hii ya juzi kwasababu kila gari inapita upande wake.
Hakuna overtake mbaya, hakuna Shimo la kupasua tairi na kuanguka..
Kwanini barabara inajengwa leo, pamoja na ufinyu wake kabla hata ile diversion mliyokua mnapita kupisha ujenzi haijaota majani unakuta lami imebomoka inakua mashimo tupu… kwa Tanzania barabara ya changarawe iliyoshindiliwa vizuri inaweza kudumu kuliko lami..
Watanzania amkeni, huu ujinga wa ccm utatumaliza, mabarabarani, mahospitalini, vyakula, maji na kila kona ni matatizo.. Utawala huu umefitinika hawana wanachokiweza.
Kulaumu Madereva kwa ajali hizi nyingi ni uongo. Tatizo ni ccm na serikali kuiba fedha na kushindwa kazi ya kujenga miundombinu mizuri.
Yani tuna kilaza hata kufikiri ni shida. Ewe @SuluhuSamia mshetani usiye na haya, huoni kadri unavyoteka watu ndo wanaamka wengine wakali zaidi? Fikiria ulimteka Soka ukadhani tutanyamaza , ukamteka Mdude leo unaonaje watu wako na vibe kumzidi Mdude na Soka🔥ujue ndo unatuamsha
I want to remind my fellow East Africans that the Tanzanian army was used as cover for the arms shipment in this arms smuggling case which is ongoing in the US 👇🏾
This is how bad we stand! This case is going to blow the cover of a lot of issues!
Ugandan national extradited to the United States to face cocaine and firearms trafficking charges in Homeland Security Task Force makes his initial court appearance early this month.
https://t.co/rvDHYZZ6uO?
the TZ military once was respected and had integrity. Protected the nation and the people from tyrants like Idi Amin. Decades later, this is what has become of one of the most respected and patriotic military-used as a puppet by enemies of the state.
Under the corrupt criminal machine the CCM the cancer of corruption has metastasized esp. when Mwiny was made the MOD and under Kikwete/Samia -they destroyed the military while Chenge destroyed the rule of law in Tanzania!