@rollymsouth Kizazi hiki ni chepesi kwenye kuhalalisha dhambi na wakati mwingine unaonekana mshamba kama huzifanyi ni heri uwe mshamba kwa kufanya jambo sahihi kwa sababu kila unaloamua kufanya kwa kufuata mkumbo au kutofikiria vizuri lina matokeo yake na matokeo ni lazima enenda kwa hekima
@BlessdGrooveKid Bravo bravo ujasiri huu hakika ni mbegu ya haki ambayo kwa sasa haipo ndan ya vijana wengi tutegemee wazee malaya wa kisiasq hapo mbelen wasiosimamia ukweli na haki. Pumzika salama Mzee Bungara.
@Dunguboy1 @AnanileaN Hii kumuita Tundu Lissu mhain haitabadilisha ukwel kwamba wewe ni mjinga na hujui usemacho, Kuzika mbna tushazika sana kipi kingine cha ajabu labda??
@privaldinho We jamaa nawe ni kenge tu hayo mampira yanakusaidia ww na familia yako acha kutuletea umbea usio na faida kila siku Simba tu umeajiriwa na Simba au Yanga???
@the_fortuna73 Wakipunguza bei tena mtasema serikal sikivu twitter mbna imejaa majinga mengi sahiv. Lile la CAG mbna hamtolei ufafanuzi?? Hili mnalimudu sio😂
@Thommunkondya Unajiongelesha tu ukweli unaujua mkienda kwa haki hamtoboi kwan nyie hamuon uhalisia hata pemben mkiongea mnajua waz kinachoendelea msione watu wapuuzi
@RahmaMwita Ndio maana kwenye msiba pia ambao wapo tayari kufanya toba na kuanza maisha mapya wanapewa nafasi. Kwa kilichofanyika na kinachoendelea kufanyika hata hayati Mzee Bungara huko alipo anafurahia. Tulien dawa iingie
@mafolebaraka Mi sikujua kila mtu inakosa validity, alafu mtu akishaanz kuinclude watu kila mtu au hakuna asojua hapo anajitetea mzabue likofi jitetee mwenyewe
@MankindUwezo Twitter siku hizi imejaa mandezi 😂😂! Sasa hapo si sheria inaongea ww suala lipo mahakaman unajiongelesha hapa kama mbwa alonyimwa msosi shut up u know nothing you imbecile.