Tutoe elimu ya kuikinga jamii na janga hili la ukatili wa kijinsia wa kingono
#zuiaukatilikwawatoto#tipdigitaltraining#kwimbadistrict
AGPAHI Tanzania
Tanzania Interfaith Partnership
UNICEF TANZANIA
TAWLA Tanzania Women Lawyers Association
Pact Tanzania
CDC Global

Maelewano katika jamii na maelezo nasaha kwa wanajamii ni nguzo ya maendeleo katika jamii zetu
#zuiaukatilikwawatoto#tipdigitaltraining#kwimbadistrict
AGPAHI Tanzania
UNICEF TANZANIA
TAWLA Tanzania Women Lawyers Association
Tanzania Interfaith Partnership
Emmanuel Kasalali

Shughuli za kukabidhi mradi wa BORESHA FCI katika wilaya ya Buchosa.
Ya kwanza na ya pili ni picha ya pamoja. Ya tatu ni mratibu wa UKIMWI wa halmashauri ya wilaya Chacha na ya nne ni makabidhiano ya ripoti ya miaka miwili kwa wawakilishi wa serikali na kwa viongozi wa dini.
Vijana kutoka wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza wamo katika mafunzo yanayoendeshwa na TIP kuhusiana na Afya ya Uzazi na Stadi za maisha.
Pichani ni mratibu mwandamizi wa ufundi kutoka TIP Shukuru Mohammed akiendesha moja ya vipindi vya mafunzo hayo leo jijini Mwanza.
Vijana wa TIP kutoka wilaya ya Ilemela mkoa wa Mwanza, ambao wanashiriki kampeni ya upimaji VVU na kupinga ukatili wa kijinsia hasa wa kingono kwa watoto, jana waliandaa hafla maalum kwa ajili ya kuelimishana kuhusu masuala ya afya ya uzazi ikiwemo VVU na stadi nyingine za maisha
Baadhi ya vijana wa TIP kutoka halmashauri ya wilaya ya Buchosa wanaoshiriki kampeni za kupitia mitandao ya kijamii kuhamasisha upimaji VVU kwa wanaume na watoto na kupinga ukatili wa kijinsia wakiwa katika picha ya pamoja jana.