BREAKING: Safari ya Abdul mtoto wa Rais Samia kwenda Uganda ilikuwa ni kuongea na Museveni ili Uganda iingie dili la mafuta na Oman. Kwa sasa wanatengemeza crisis Tanzania ili ionekane tunahitaji msaada, alafu Oman watakuja kama mkombozi. SGR ipo kibla. TPDC ipo kibla.
Hawa watu hatuwezi kuwashangaa. Hakuna asiyejua kwamba ACT ni mamluki wa CCM. Yeyote anayemwamini Zitto ni ana mtindio wa ubongo au na yeye ni walewale. Sisi wenyewe ndani ya CCM hatuutaki huu mkataba wa DP World, ACT wanaunga mkono. Hovyo kabisa.
JK, Kinana ni wahuni na mafisadi ndani ya chama chetu. Wanawafadhili watoto wao kumuondoa Rais Samia 2025, ila kwenye swala la bandari, naungana nao 100%. Wameingiwa na hofu ya Mungu na uchungu wa mali za Tanganyika kuuzwa na Wazanzibari kwa Waarabu. Kwenye hili tuko nao pamoja.
🔴TEUZI
Rais Samia Suluhu Hassan Leo ameunda na kuteua viongozi wa Baraza la Kumshauri Rais kuhusu Utekelezaji wa Masuala ya Kilimo na Chakula (Presidential Food and Agriculture Delivery Council) nakumteua Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza Hilo
BREAKING: Arsenal have been charged with breaching FA rules for failing to ensure its players conducted themselves in an orderly fashion during their win over Oxford United. 🟥
Binafsi, nimetimiza wajibu wangu kama Raia mwema na kama mwanaCCM mahiri. Kwamba, mama hahusiki kwenye mchakato wa tenda, Wasaidizi wake wasijifiche kwenye kivuli cha Mama, wajibu hoja za umma. Pili, maswali ya umma yako wazi, yajibiwe. Kama hauna jibu utulie. Naishia hapa.