@Roma_Mkatoliki Roma ulinifanya nikafukuzwa shule na mwanangu mmoja mwaka 2014 ilikuwaga Tigo fiesta
Basi wakati huo nipo Al hijra dodoma
Tulitoloka night Kali nakumbuka nikichangisha rambirambi hlf nikaenda kuangalia fiesta ila lengo ni nyimbo ilikuwa ni ngoma za Roma ile ikulu