Pindi ufanyiwapo ukatili wa kijinsia, Epuka kubadilisha mavazi, kuoga, au kujisafisha mpaka utakapoonwa na mtoa huduma ili usiharibu ushahidi wowote utakaohitajika kuchukuliwa kama sampuli za kutolea ushahidi mahakamani.
#MichongoEndelevu#03Project#EndGBV#GBV#SRHR#sdgs2030
Kila mtoto ana haki ya kwenda shule na kusoma,tunaweza kutokomeza ukatili wa watoto kwa kuwapa nafasi ya kusoma,kufanya kazi kwa staha bila adhabu zenye mrengo wa unyanyasaji wa kijinsia #MichongoEndelevu#O3Project#Kataaukatili#EndGBV
Kwa kukosa fursa zenye usawa,Ukatili wa kisaikolojia huleta msongo wa mawazo na maumivu ya kutothaminiwa kwa watu wenye https://t.co/CVVepYFY0A jukumu letu kujenga mahusiano ya heshima ili kulinda haki kwa watu wote #MichongoEndelevu#Kataaukatili#O3project#EndGBV#Ahadiyangu
Ukatili wa kimwili ni kitendo chochote anacho fanyiwa mwanamke au mwanaume na mwathirika kupata maumivu makali kupelekea hata kifo.
#Michongo endelevu
#o3project@change4future@Dunia salama foundation
@Salama foundation

kuwa na mahusiano ya kingono na wenza zaidi za mmoja.Kama kijana ni vyeama ukafahamu kuwa una uwezekano mkubwa wa kupata #VVU au magonjwa mengine ya zinaa unapokuwa na mahusiano ya kingono na zaidi ya mwenzi mmoja. #MichongoEndelevu#O3Plus
Ukatili wa kijinsia hufanywa na mtu kwa sababu ya jinsia yake, mifumo ya kijamii, mila desturi na tamaduni huchangia kwa kiwango kikubwa katika kuendeleza ukatili wa kijinsia.
Tuwajibike kuutokomeza
@DuniaFoundation@salamafound@InfoLifeTz#michongoendelevu#O3project
Ukatili wa kijinsia hufanywa na mtu kwa sababu ya jinsia yake, mifumo ya kijamii, mila desturi na tamaduni huchangia kwa kiwango kikubwa katika kuendeleza ukatili wa kijinsia.
Tuwajibike kuutokomeza
@salamafound@InfoLifeTz#michongoendelevu#O3project