Ogopa sana mtu ambaye kila kukicha anatafuta mabaya dhidi ya serikali yake! Hakuna zuri hata moja analodhani serikali imefanya. Ni mbaya kuliko mpagani! (Unbeliever)
@TanzaniaInsight Thorough measurements are needed before a big overhaul of public corporations. The root to this everlasting trouble is always been the BOARD CHAIRS. Changing of these top decision makers would have meant a lot than the current plan.
@Sesyline_KE I think women should get rid of this mentality of βhis money, my moneyβ get your things going. Men values women who earn their own money. Not everyday is Friday. Imagine if she had more money than him of equal. The exit would be smooth and friendly than whatβs happening now.
Tokelezea siku Hii ya Wapendanao na Woolworths. Timbelea maduka yetu yaliyopo PPF TOWERS, PALM VILLAGE, na MLIMANI CITY pamoja na ARUSHA. #WooliesValentines@WOOLWORTHS_SA β€οΈ
Tusipotambua kwamba nchi yetu ina amani sasa kuliko ilivyokuwa zamani tutakuwa wanafiki!
Tunapoongozwa na kiongozi mwenye hekima, mwana diplomasia uwepo wa amani ni dhahiri!
Hongera tena Rais Dk. Samia Suluhu umetuunganisha Watanzania pamoja. #HongeraBiMkubwa π @SuluhuSamia