@FKihamu Itakuwa ndiye simba wanataka kumtangaza leo ...nimeona tangazo lao kwenye simba App aje kuongeza namba za wanaokaa benchi kuna wachezaji walisajiliwa kwa mbwembwe msimu mpya toka uanze hata jina tu kuwepo kwenye list ya fast eleven hajawahi kuwepo sasa unajiuliza wamesajili ili?
@SimbaSCTanzania Mbwembwe nyiiiiingi za usajili na kutangaza hao waliosajiliwa mwisho wa Siku kati ya wachezaji 5 waliosajiliwa wanaopafomu ni 2 ama mmoja wengine wanajaza namba tu kifupi viongozi wapo kwa ajili ya matumbo yao tu si kuijenga simba sawa sawa
@MwijakuBurton Akili yako haina akili kuna vitu wakati mwingine kama umekosa cha kuandika ukikaa kimya nayo ni hekima pia unaweza andika kitu alafu watu wakakuwaza na kukuona huna hekima na busara
@foungph Ushaalikwa kuchinja nguruwe?.....ukialikwa kuchinja kuku ama mbuzi ni kama kuendeleza upendo wa ujirani mwema tu tu usifikiri wakristo wote wanaita waislamu kuchinja hata usipochinja wewe atalika tu kifupi si lazima muislamu kuchinja kwa mkristu