@ze_mandevu Shida ya azam matangazo kibao wakati wewe umelipia uwone huo mpira ujalipia matangazo tofauti na dstv matangazo ni mawili tu bet9ja na UEFA Champions likizidi ni sport betting.
Ukitaka matangazo zaidi utakayakuta channel 100
Wakati azam c100 nikurudisha cn zilizo potea tu.