@Vicent_Kassala@ayo_shangwe Samahani ila hizi tone za uongeaji za viongozi wa ACT naona wote wanaigana wengine wanamuiga Mh Zitto na wengine Mhe Addo wengine wanaenda mbali hadi facial expressions
@Ndolezi_Petro Mr Ndolezi ukiwaza kuwa mbunge jiandae kwa mawazo makubwa zaidi, umefanya vizur kuanzisha league ila hapo kwenye wajasiliamali upeo wako hautakiwi kuishia hapo , think big how can you eradicate poverty to your community. Kwangu hizi fikra zakuuza machungwa kwenye beseni hazitakiw
@Sirjeff_D Hahah inategemea ukiwakuta wale wa upareni wengi ni wafupi I think coz of nature ya kabila ila I have friends from lakezone ni warefu pia. I think no kwasababu ya dominance