@mdudechadematz Broo kwani wewe unamtaka yupi? Kipindi JPM ulilalamika, Kipindi cha Kikwete ulilalamika, kwa mama @SuluhuSamia unalalamika sasa si uhame tu nchi tujue moja? Nani kwako anafaa? Je! Tumrudishe JPM? Wakati mwingine yafaa kushauri kuliko kutukana tu
@SuluhuSamia Mama katika kuendelea kusherekea siku ya wanawake Duniani, ninakupongeza wewe binafsi kama mmoja ya wanawake wanaofanya vizuri katika medali za kisiasa na utawala katika ukanda wetu wa Africa na pengine dunia nzima, Hongera sana Mama, endelea kugusa maisha ya watu
Hakuna aliye mkamilifu. Sisi sote tuna mapungufu yetu. Kamwe usimshushie mtu heshima kwa sababu ya mapungufu yake. Mwenyezi Mungu anaweza kubadilisha mambo kwa haraka na unaweza kujikuta katika hali hiyohiyo.
Ijumaa Mubarak
@SuphianJuma@IssaShivji Wewe emdelea tu kula hela za uchawa acha wenye kujua thamani ya nchi yetu wazungumze, wewe ni wa bei poa, and more tunalishakujua kuwa wewe ni mfuasi wa uuuuuupiiiin mfyuuuuu
@DP_World Ninyi matapeli wa kimkakati mpo? Wenye mali hatutaki ujanja ujanja safari, tunataka mambo yetu tufanye na tuamue wenyewe, waambie madalali wenu akina @mshambuliaji@geraldhando wakome watz hawadanganiyiki tena, pimbi kabisa
@Sisimizi3 Hilo soko la tikiti lipo wapi? Asiwadanganye watu wakaingia mkenge, nakijua vizuri kilimo hiki, niliingiaga kichwa kichwa kutokana na hawa motivational speakers weeeeeee acha kabisa