Activist in Democracy and Human Freedom.
Believer in mother Tanzania with freedom of expression,free and fair elections.
#WenyeNchiWananchi#
#KatibaMpyaSasa#
Kuna taarifa za uhakika ya maji ya mto Mara kuonekana yamechafuliwa na utando mweusi, harufu kali, samaki kufa kwa wingi. Mto mara unamwaga maji ziwa Victoria.Maji ya ziwa Victoria na samaki wake wanatumiwa na mamilioni ya Watanzania.
Nitazungumza na vyombo vya habari kuhusu hili
It has real been the greatest honour to be received by me this year.with in a few minutes with our chairman I've gained a lot. Hakika wew ni Mwamba✌
S/O to CHASO DAR ES SALAAM.
#CHASODARESSALAAAM#BAVICHATANZANIA#CHADEMAINBLOOD.
1. Khalifan Bwire
2. Adam Kasekwa
3. Mohamed Ling'wenya
Kama unayajua haya majina na umefurahi kwa kilichotokea, piga rt moja hapa bila sababu, kikomandoo.
😎😎😎
Tujifunze. Ni MARUFUKU kabisa kuomba HAKI! Marufuku kabisa na isirudiwe tena. Kuomba haki kunajenga taifa la KIDITETA na kulea MIUNGU WATU. Hakuna sehemu ya KATIBA inaelekeza raia kuomba haki. Haki haiombwi kamwe, haki INADAIWA. Najua kuna watu wananuna sana nikiandika. Poa tu🦥