Je, umewahi kukumbana na Changamoto wakati wa kupata Kitambulisho cha Taifa? Jiunge nasi katika Mjadala kuhusu Upatikanaji wa Vitambulisho vya Taifa Nchini Leo, Septemba 7, 2023, kupitia 'X Spaces' ya #JamiiForums kuanzia saa 12:00 jioni hadi saa 2:00 usiku
Tutaangazia Mchakato wa Utoaji na Upatikanaji wa Vitambulisho ikiwemo Mafanikio, Changamoto wanazopata Wananchi na Mwitikio wa Mamlaka
Karibu kutoa maoni yako, Mamlaka( NIDA na TAKUKURU) zitakuwepo kusikiliza maoni yako
'Link' ya Mjadala https://t.co/hThd585ocE
#NIDASpaces #JFVoiceBasedSessions #VitambulishoVyaNIDA #JFSpaces
@MSalimu Ushauri wangu una mtoto ndugu ambae anapata haya maumivu ya hedhi hakikisha anapata vipimo vya hospitalini(tuachane na maneno ya tumbo la chango sawa yake kuzaa)
@MSalimu Yaani kuna zaidi ya maumivu,nimeanza kuumwa tumbo tangia nilipovunja ungo,(na kikubwa nilikuwa nikiambiwa ukija kupata mtoto inaisha) ,nimekuja kujulikana ni Endometriosis 2017,na mwaka huu nimegundulika nina Fibroids.
βWapi umekwenda mara nyingi na utakwenda tena? Kwa nini?β with @fadhymtanga, @ms_sasya, @osckim, Caroline Salija, @felicit04799385, Joseph Paul KENENE, @gracelyntrisha, @imalaika, Winnes Lyaro, Anna Ringo, Alice Alba. Today at 21:30 on @clubhouse! https://t.co/IHkMgcVDtC
Please could any two of my Twitter +Instagram +Facebook friends just copy and repost.
This lockdown period is especially hard for people with depression
24hr Helpline:
0800 456 789 Done
Just two. Any two. Say⦠https://t.co/eayxVtWAb0
United Nations: REQUEST UN & TZ MILITARY TO STOP RWANDA & UGANDA FROM INTERFERING IN TZ PROTESTS. - Sign the Petition! https://t.co/QZcmVCnRC5 via @Change