Community based Initiative I Mangrove Forest Conservations I Climate ActionI Bee keeping I Eco-Tourism (Implemented by TCCI, Mazingira Plus, HUDEFO & ETE
Ni Mwaka wa tatu MMCP tumekuwa tukishuhudia mabadiliko ya Tabianchi yanayotokana na kuongezeka kwa kina cha maji ya Bahari ambapo kumepelekea kuharibika kwa fukwe, Ardhi na kupotea kwa mimea na viumbe hai katika kijiji cha Mdimni, (W) Mkurangwa Mkoani Pwani
This is part of #ecosystem based #adapation to climate change. Urban #nature need to be retored and conserved. #Climate is changing; we human also need to change our actions.
Saturday 11/02/2023 we teamed up with @tcci_tz to conduct a tree planting event at Nzasa Secondary School, Temeke Municipality (@temekeyetu ). In total we planted 130 #trees and mobilize more than 250 community members.
Ecosystem Based Adaptation
Mangroves restoration protection can be an effective adaptation strategy as these ecosystems act as a buffer against strong winds and waves and prevent coastal erosion
#EbA#NbS#restoration#Tanzania
Tunawashukuru Wadau wetu wote ambao wanatupatia ushirikiano ikiwa ni pamoja na TFS, Ofisi ya DED/DC Mkuranga, Ofisi ya Kata,Serikali ya Kijiji - Mdimni, na Taasisi zote zilizowahi shiriki shughuli zetu za uhifadhi kwa miaka yote mitatu ya MMCP toka mwaka 2020
#ClimateActionNow
Ni Mwaka wa tatu MMCP tumekuwa tukishuhudia mabadiliko ya Tabianchi yanayotokana na kuongezeka kwa kina cha maji ya Bahari ambapo kumepelekea kuharibika kwa fukwe, Ardhi na kupotea kwa mimea na viumbe hai katika kijiji cha Mdimni, (W) Mkurangwa Mkoani Pwani
Ukitunza mazingira nayo yatakutunza.
Watoto hawa kutoka #Tanzania wanajengewa uwezo wa kulinda sayari mapema.
Leo #MangroveDay, wanachukua #ClimateAction kwa kupanda mikoko katika kijiji chao cha Mdimni, Mkuranga inayoathiriwa na mabadiliko ya tabianchi.
๐ฅ@fredynjeje
FACTS
#Mangroves protect #water quality by removing pollutants.
#Mangroves peat absorbs water during heavy rains and storm surge
#Mangroves provide nursery #habitat for many commercial fish and shellfish
#Mangroves protect species that are the basis of #seafood
Join Us
Kuelekea Siku ya Mikoko Duniani
@HUDEFO , TCCI, @MazingiraPlus na ETE World Wide Solutions Wameandaa Safari hii Muhimu kwa ajili ya Maadhimisho haya. Karibu tukajifunze jinsi Mabadiliko ya Tabianchi yanavyoathiri Bahari na Mikoko inavyoweza kuwa Msaada.
Nafasi ni chache sana.
The Ekhaga Foundation Grant Program is now accepting applications to enhance human #health by supporting the creation of better #food, natural medicines, and healing practices, as well as #research for a healthier way of life.ย Read more here https://t.co/hBhTHYyWCp #SDGs
Did you know that a staggering 40% of the worldโs species are reliant in some way on wetlands? These marshes, ponds and river deltas need to be saved! Join me on the #WorldWetlandsRun#nature#Tanzania#environment
Over 90% of Tanzanian depends on biomass as primary source of energy at households levels. In many communities women and girls are responsible to ensure adequate supply of firewood, are we on track of achieving SDG7 and SDG5?
๐@tajiel_urioh
๐ธ@fredynjeje