Ukitaka kuuawa haraka, kuwa kiongozi mwaminifu barani Afrika.
Thomas Sankara alielewa hiloโlakini hakujali. Alijua kwamba dunia haimpendi kiongozi ambaye hasaliti raia wake.
Aliamua kuwa tofauti. Akaapa kutokula mpaka masikini wale, kutovaa suti mpaka wafanyakazi wa viwandani waweze kuvaa vizuri, kutopanda ndege ya kifahari mpaka wakulima wa Burkina Faso waondokane na njaa.
Lakini kila siku aliyokuwa hai, alikuwa akihesabu muda. Alijua kifo kinamfuata nyuma kwa kasi. Kwa sababu hakuchagua kuishi kama mfalme, bali kama mtumishi wa watu.
Alikuwa kijana mdogo, lakini mwenye maono ya mbali sana. Wakati wengi walitafuta vyeo kwa ajili ya madaraka, Sankara aliingia madarakani kwa ajili ya mapinduzi ya akili.
Lakini mwisho wake ulikuwa wa kusikitisha sana. Na aliyehusika kumuua, hakuwa mgeni โ bali rafiki yake kipenzi.
Thread ๐งต ๐๐พ
Leo, twende pamoja kwenye safari ya Misri ya kale ardhi ya mafarao, piramidi, na hekima iliyojificha nyuma ya pazia la utamaduni wa kimagharibi.
Umeshawahi kusikia mtu anasema kwa msisitizo, โUnajua kwa nini mwili wa Firauni haujaoza? Mungu alimlaani, hata ardhi ikamkataa!โ.
Unasikia watu wakipiga miayo ya mshangao, wengine wakisema "Eeeh! Hii ni laana kubwa sana."
Lakini ukiuliza, ni ardhi ipi iliyomkataa? Wengi watakunyooshea kidole kwenye historia ambayo wao pia waliikuta ikiwa tayari imechorwa na watu wa zamani.
Hawakuwahi kuuliza, hawakuwahi kufuatilia waliamini tu, bila kuuliza.
Na hapo ndipo tunapokosea.
Kwa sisi Waafrika, kuzika ni kuingia ardhini. Tunaamini mtu aliyefariki ni lazima apate shimo lake, azikwe chini.
Lakini kwa wale wa kale hususan Wamisri wa zamani haikuwa hivyo.
Mafarao hawakuzikwa ardhini.
Hawakuchimbiwa mashimo kama ilivyo kawaida yetu.
Walikuwa wakiingizwa ndani ya vyumba vikubwa vya mawe mahandaki ya kifalme, yaliyojengwa ndani ya piramidi au milima kama vile Valley of the Kings.
Mapenzi ya Mikel Obi na Olga Diyachenko โ Hadithi ya Mahaba ya Nyota wa Soka wa Nigeria.
Mikel Obi, gwiji wa soka wa Nigeria, alikutana na Olga Diyachenko mwaka 2013.
Olga ni mfanyabiashara maarufu wa Kirusi aliyekuwa akisoma London wakati huo.
๐งต THREAD:โคต๏ธ
#TANZIA: Mbunge wa Kigamboni, Mhe. Dkt.Faustine Ndugulile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu.
Taarifa ya Kifo chake imetolewa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.Tulia Ackson.
Habari Tanzania! Tunaitambulisha kwenu Yas na Mixx by Yasโtupo hapa kukufungulia fursa mpya ufanikiwe zaidi. Pata taarifa zaidi hapa: https://t.co/wR6QyVx2D4
#YasTanzania#ItsOurTime#MixxbyYas#NiWakatiWetu