@BarakaMaviatu@AllyAssed13070 Sio sahihi sisi waislamu niwatoaji haswa ila tunatoa sehemu sahihi kwa muhitaji si kama nyinyi wenzetu mnatoa kwenye harambee za kabisa na kuwachangia viongozi wenu
Nb:tunahusiwa tunapotoa kwa mkono wa kulia, kushoto usijue kimetoka nini