#TANZANIA: JAJI CHANDE AMETOA WAPI HII RIPOTI?, KULE TUMEZIKA VIJANA, ADAI LISSU NI MWAMBA KESI YA UHAINI, "DPP ALIFUTE KESI"
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob leo Mei 22, 2026 akiongea na wananchi wa Arusha Mjini amesema kwa upande wa Dar Es Salaam wamezika watu wengi waliouawa wakati na baada ya uchaguzi wa 2025, amewahoji wakazi wa Arusha kama Jaji Chande alifika kuwahoji wananchi kuhusu yaliyotokea wakati wa uchaguzi.
Aidha, Boniface amesema kesi ya uhaini ya Tundu Lissu ngoma ishakuwa ngumu upande wa Jamhuri kwasababu mpaka sasa Lissu ameshawashinda kwa umahiri wake wa kisheria, ameongezea kwa kusema kuwa Lissu anajitetea yeye mwenyewe kwa kuwa aliona haina haja na kwasumbua wakina Wakili Kibatala na Mawakili wengine kwa kuwa anawamudu vizuri Mawakili wa upande wa Jamhuri.
Zaidi: https://t.co/4vZzXdT9sP