Salamu Maria umejaa neema. Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote. Naye Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu. Utuombee sisi wakosefu. Sasa, na saa ya kufa kwetu, Amina🙏
Tunaukimbilia, ulinzi wako mzazi Mtakatifu wa Mungu, usitunyime tukiomba katika shida zetu, utuokoe kila siku tuingiapo hatarini, Ee Bikira Mtukufu mwenye baraka, Amina.🙏
Tunaukimbilia, ulinzi wako Mzazi Mtakatifu wa Mungu, usitunyime tukiomba katika shida zetu, utuopoe kila tuingiapo hatarini, Ee Bikira Mtukufu mwenye baraka, Amina.
Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, kama mwanzo na sasa na siku zote na milele, Amina
Kaa nasi Bwana🙏