@jokateM Mungu anabadilisha kweli kweli, yani wakati ule ulipoteuliwa kwa mara ya kwanza aisee cjui ni maisha gani ulikuwa unaishi, picha zako zilitumwa ambazo zinashangaza ila hongera umebadilika.
Kwa nini serikali inawanyanyasa Wamasai kiasi hiki? Kwamba Mwarabu anayewinda Ngorongoro ni bora Masai anayeishi mule?🤔
What happened to the social contract??
@MwanzoTvPlus Samia unaambiwa kwamba, wanaume wote waliopita yani watangulizi wako hawajawahi kuwafanyia unayoyafanyia wewe, na wewe ndiye mwanamke ambaye angalau ulizaa kwa uchungu kama wao, lakin wewe ndiye umekuwa mbaya hata kuzidi wanaume, hurumia wazazi wenzako, hayo machozi hayaendi bur
@Oleshangay Tunamshukuru Mungu kwamba wote wametoka salama, pia shukran nyingi kwenu mawakili kwa kazi kubwa na nzuri mliyofanya kuhakikisha ndugu zetu hawa wanapatikana, tuzidishe sauti kadiri itakavyowezekana wananchi wa Ngorongoro tuna hali ngumu sana ambayo sio wa kunyamaziwa.
@MariaSTsehai Samia amejitengenezea mazingira magumu ambayo hata kwa katiba hii mbovu hawezi kushinda uchaguzi, hata waibe vipi na kutumia polisi hawezi kushinda nawaambieni 🙅
@SuluhuSamia nafikiri umepata ujumbe wa wamama wa Endulen Ngorongoro, wewe upo salama na wanao huku wamama wa kimasai wakiwalilia watoto wao ambao wanalala porini kwa maagizo yako, naamini ulizaa na unajua uchungu wa mwana, acha kiburi cha madaraka una mwisho. @MariaSTsehai
Hatuhami ng'o! Kundi moja la wanawake kutoka Endulen, Ngorongoro, leo wamefanya maandamano wakipinga mpango wa serikali kuwaondoa kwa nguvu huko Msomera
#MwanzoHabari
Tazama: https://t.co/yIvsK75Y57
@SuluhuSamia nafikiri umepata ujumbe wa wamama wa Endulen Ngorongoro, wewe upo salama na wanao huku wamama wa kimasai wakiwalilia watoto wao ambao wanalala porini kwa maagizo yako, naamini ulizaa na unajua uchungu wa mwana, acha kiburi cha madaraka una mwisho. @MariaSTsehai
Napendekeza kwenye serikali ijayo ili tupate nchi itakayo heshimu katiba na sheria ni vema hawa miamba tuwape dhamana
(1) Tundu Antiphas Lissu Rais
(2) Freeman Aikael Mbowe waziri mkuu
(3) wakili mwabukusi mwanasheria mkuu wa Serikali
(4) Peter madeleka awe waziri wa katiba na
@KumbushoDawson@Mwabuk2Boniface Napendekeza kwenye serikali ijayo Lesu awe Rais, Mbowe awe waziri mkuu, mwabukusi awe mwanasheria mkuu wa Serikali, Peter madeleka awe waziri wa katiba na sheria 🙅
@rais_wa_waha_tz @KumbushoDawson@Mwabuk2Boniface Inatakiwa Lisu awe Kwanza then afuate Mwabukusi halafu Peter madeleka awe mwanasheria mkuu wa Serikali 🙅
Tunataka kumwambia Samia kuwa Kitu pekee kinachoweza kutuondoa Ngorongoro ni kutuua tu basi🙅 lakin tofauti na hapo serikali ya ya Samia itakuwa inajidanganya bure na kupoteza muda wao bure, Ngorongoro bado tupo tupo sana na mpango wa kwenda popote haupo. @MariaSTsehai
@godbless_lema Wananchi wake tumemuelewa sana, hapo hakuna maigizo yoyote wala nini, Shanghai pamoja na uccm wake ni mtu mzuri sana na anatimiza wajibu wake kwa wananchi wake, sio lazima mtu au kiongozi awe Chadema ndo aaminike