@MsMiriti Shida solo traveler unafikia hotelini lazima uwe bored. Solo traveler fikia hostel Una meet watu unatengeneza marafiki. Hotel kila mtu yupo kivyake ngumu kumake friends
@TimeLyfe@IAMartin_ Kwani raia namba Moja hapa Tz ni nani? Kama raia na Moja c yeye ndye tunamjua na familia yake...na familia yake yote inajulikana....ndio Gwaji Boy anauliza, je Kama Abdul angetekwa huyo Raia no. Moja angekaa kimya????
@chapo255 Very true Jamaa sijui alifeli wapi Ile blog/website yake angekaza angekua mbali Sana maana ndio ilikua kimbilio la wanamuziki kabla music digital platform hazijabamba.
@TheChanzo Tatizo hatuko makini hizo biashara ni za kufanya wazawa sio wageni unless otherwise wawe wameoa na wanaresident permit duniani kote ndio iko hivyo wasio na vibali au wapo kimagumashi watimuliwe
@KingPablotz Very sad kama ni kweli alishindwa kuwaambia hao maaskari waset trap ili mtu anayepokea mzigo akamatwe?Hakuhoji kuna nini kwenye begi mpaka apewe 1,300 usd na alipiwe gharama zote? If the deal is too good think twice always.Pole yake na Kwa familia