Bila amani na utulivu hakuna haki bali nchi itageuka uwanja wa binadamu wanaofanya vitu kama wanyama. Amani ndio msingi wa haki. Penye amani ndipo penye uwanja wa haki. Pasipo amani upo uhayawani na wala hakuna nchi.
Who is Abdul Halim Hafidh Ameir?
Abdul Halim Hafidh Ameir is a Tanzanian businessman and philanthropist, and son of the President of the United Republic of Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Mr. Ameir’s business interests span from energy, food processing, agriculture, spare parts and retail.
With over 20 years of experience in business enterprise, he is also a Databases Engineer highly skilled in computer systems, databases and networks. Prior to engaging himself as a full time businessman, he worked for the Revolutionary Government of Zanzibar as a Systems Administrator.
Mr. Ameir spends most of his time in his native Zanzibar. He maintains a low profile and most of the news about him have been from unverified sources and unsubstantiated claims, mostly from his critics and those of President Suluhu. Colleagues at work and business describe him as introvert, perceptive, knowledgeable, pious and altruistic.
Bila shaka sasa mmeelewa kwa nini namuita Profesa wa Sayansi ya Siasa na Uongozi.
1. Walianza kutaka asiapishwe, wakala za uso.
2. Wakaja na kakundi kale kwa Sauti ya Watanzania na Slaa uwanjani Temeke pale, wakala za uso.
3. Wakaja na dili za 2030, wakala za uso.
4. Wakaja na stori za uhaini na kutikisa nchi iwake, wakala za uso.
5. Wakaja na stori za waraka, wakala za uso.
6. Wakaja stori ya kuzuia uchaguzi, wakaangukia pua.
7. Wakaja na jasusi mcheza pono saa hizi anafanya presi kama panya kajificha, hiyo nayo wameangukia pua.
8. Wakaenda Cuba nako wiki hii hesabu yake inaisha, wamechezea za uso.
Tunasubiri namba 9 na 10. Tunazijua. Jitokezeni. Mtu kazi yuko imara anaendelea na utumishi kwa watu wake. Nchi tulivu kabisa.
Leo nimekutana na Profesa mmoja wa tiba ofisini nikamuuliza ishu za vifaa kwenye hospitali ikoje. Akaniambia kuna mambo ya kihistoria yanatokea. Mfano tangu tunapata uhuru hadi mwanzoni mwa 2021 nchi iliwahi kununua mashine 7 tu za MRI, ila 2021 mwezi wa sita hadi mwaka huu Tanzania imenunua mashine 6 mpya za MRI. Nikamwambia basi usitaje jina wenyewe hawapendi wanasema tunamsifia sana. Akanielewa ila akasema tiki haina mjadala.
MPEWA HAPOKONYEKI
HAJI GORA HAJI, 1994
Aliyepewa kapewa, naapa hapokonyeki
Kwa alicho jaaliwa, Wallahi hapunguzuki
Ukimlilia ngowa, unajipatisha dhiki
Mpewa hapokonyeki, aliyepewa kapewa
Wewe ukifanya chuki, bure unajisumbuwa
Mola ndiye atowae, akawapa mahuluki
Humpa amtakae, ambaye humbariki
Na kila amnyimae, kupata hatodiriki
Mpewa hapokonyeki, aliyepewa kapewa
Wewe ukifanya chuki, bure unajisumbuwa
Wa tisa humpa tisa, wa moja haongezeki
Alomnyima kabisa, hata akitaharuki
Atabaki na kunasa, atakwama hanasuki
Mpewa hapokonyeki, aliyepewa kapewa
Wewe ukifanya chuki, bure unajisumbuwa
Mola hutowa hidaya, tafauti na riziki
Kwa anomtunukiya, huwa ndiyo yake haki
Na asiye mtakiya, huwa si yake laiki
Mpewa hapokonyeki, aliyepewa kapewa
Wewe ukifanya chuki, bure unajisumbuwa.
Mwenyekiti @othmasoud ni nyota inayong’ara sana. Umekuwa unatoa matumaini kila unapopita badala ya hofu. Hakika Mwaka 2025 Nchi hii inaenda kupata uongozi tulioutamani, tuliousubiria na tunaoutaka. Nakupongeza kwa Kazi nzuri na kubwa. Unatu inspire kwa kweli. @ACTwazalendo
LIVE: @JonnyKimUSA is launching into orbit from Baikonur Cosmodrome in Kazakhstan for an eight-month science mission aboard the @Space_Station. Liftoff is scheduled for 1:47am ET (0547 UTC). https://t.co/9KzoFFBdMc
Kuna “nguvu” kubwa ya baadhi ya watu ndani ya CCM hasa wale wanaodhani CCM ni haki yao ya urithi na nyumba yao binafsi kujaribu kumkwamisha Rais Samia. Sijui kwa nini hawajifunzi kutokana na historia. Rais ni Rais. Rais ni Mwenyekiti wa Chama. Rais wa Tanzania ni Imperial kuanzia Nyerere hadi Samia. Endeleeni kujaribu kugusa mara familia, mara wasaidizi wake, mara teuzi zake, mara maamuzi yake n.k ila nawahakikishia HAMTOBOI. Halafu muda si mrefu mtaanza kusalitiana. Tupo hapa.