Pamoja na yote yaliyotokea katika Taifa letu (Tanzania) bado tunayo nafasi ya kukaa pamoja kuzungumza na Kukumbushana juu ya wajibu wa msingi wa kila mmoja wetu kuhusu Kusimamia utoaji wa Haki stahiki kwa Makundi yote ndani ya jamii ili tuweze kudumisha Amani na Utulivu katika nchi yetu
#NakupendaTanzania
@Jambotv_@ChademaTz wakati mwengine mnapenda kugombana na mamlaka pasipo sababu za msingi, kwani mkifanya mkutano wenu baada ya mkutano wa Nishati Africa kumalizika mtapungukiwa nini!!!
Upinzani mzuri ni ule unaoheshimu mamlaka za nchi.
#Badilikeni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mmoja wa Wakuu wa Misheni za Uangalizi wa Chaguzi za SADC (SEOM) Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anna Makinda na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 09 Januari 2025.