@PMadeleka Stop blowing things out of proportion, you know exactly that wasn’t the actual context. Makes one wonder what are your actual intentions with regards to serving the people.
Huyu DC achukuliwe hatua kali, pamoja na kuwa ukatili haukubaliki kipindi chochote, lakini ana uthubutu wa namna gani kumpiga binti hadharani kabisa kwenye siku 16 za kupinga ukatili???.
Pia ni kukosa maadili ya uongozi
@maendeleoyajami@Dr_DGwajima@MwananchiNews@TheChanzo
Kimsingi kwa nini tuhame nchi yetu kama hatupendi kitu fulani? Kwa nini viongozi wanaona kwamba maagizo yao ni sawa na amri kumi za Mungu? Na asiyependa maagizo yao anastahili kutupwa palipo na kulia na kusaga meno? Kwa nini hawako tayari kusikiliza kero za wananchi?
Cette semaine, notre Direction des Relations Internationales est en Tanzanie dans le cadre du vaste projet d'accompagnement des patients & soignants dans la prise en charge du #cancer. 🌍
Une riche 1ère journée avec la visite de l'ambassade et de l'@akhstanzania ! ⬇️