Leo Oktoba 21, 2021 saa sita kamili mchana Katibu Mkuu wa Chama Mhe. @jjmnyika atazungumza na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Kinondoni, Dar es salaam.
Vyombo vyote vya Habari vinakaribishwa.
Chadema haikubaliani na uamuzi wa Jaji Siyani kwani haikutenda Haki na ni muendelezo wa Mahakama kutokuzingatia sheria katika kutoa uamuzi . Msikilize Katibu Mkuu John Mnyika
https://t.co/bVQkHFa9z4
Hukumu yake ameijenga Kwa Msingi wa 'maoni yangu' na sio kwa mujibu wa Sheria, amenikumbusha hukumu ya Sugu Hakimu alipoandika 'from the bottom of my heart' Mahakama Kuu ikasema kesi hutolewa uamuzi Kwa mujibu wa sheria na sio Kwa hisia za Hakimu au Jaji
Breaking News:Jaji Mustapha Siyani baada ya kutoa uamuzi wake wa kupokea maelezo ya onyo, ameamua kujitoa kuendelea kusikiliza hii kesi Kwa hoja kwamba anataka shauri lisikilizwe mfululizo na yeye hataweza kufanya hivyo Kwa sababu ya majukumu aliyopewa ya kuwa JK
Ameahirisha
Ile historia tayari imeshaandikwa , tunarejea kwenye kesi ya Msingi ,bado mshitakiwa wa tatu alikamatwa pamoja na mshitakiwa wa pili hivyo inawezekana ikaja kesi ndogo nyingine na hivyo hoja zote kupanguliwa na utetezi.Tuendelee kumtumaini Mungu hakika tutashinda.
Bado saa chache tukashuhudie Mahakama Kuu itatenda Haki Kwa mujibu wa sheria au laaa! Inaweza kuwa siku ya historia nyingine kuandikwa katika Taifa letu! Tufuatilie kujua NI historia ipi hiyo!
Tuko ndani ya Mahakama Kuu Division ya uhujumu uchumi tayari kufuatilia kesi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na wenzake,ambapo Leo tarehe 20 Octoba ,2021 ni siku ya uamuzi juu ya kesi ndogo.Washitakiwa wameshafikishwa katika viunga vya Mahakama tunasubiri waingizwe Mahakamani
Viongozi mbalimbali na wananchi wameshawasili viunga vya Mahakama Kuu Division ya uhujumu uchumi tayari kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhujumu uchumi yenye Ugaidi ndani yake inayomkabili Mhe.Freeman Mbowe na wenzake,ikiwa Leo ni siku ya uamuzi kuhusu Kesi ndogo!
Bado saa chache tukashuhudie Mahakama Kuu itatenda Haki Kwa mujibu wa sheria au laaa! Inaweza kuwa siku ya historia nyingine kuandikwa katika Taifa letu! Tufuatilie kujua NI historia ipi hiyo!
Justice , Justice !!! Haki,Haki!!!kesho tunaenda kushuhudia Mhimili wa Mahakama ukitimiza wajibu wake wa kutoa Haki .....bahati NI kuwa Jaji Kiongozi ndio anawajibu huo wa kutoa Haki na kuonyesha Ulimwengu kuwa Mahakama Inaweza kujisimamia au huwa inasimimamiwa! Kesho tutajua?
Jaji: Maelezo yanayobishaniwa, maelezo yalichukuliwa Nje ya muda, Je ulitoa hayo maelezo lakini kwa mateso?, Picha ninayopata leo, hukutoa maelezo ila ulisaini tu.
Shahidi: Sahihi, ninazungumzia kuwa niliteswa na kuning'inizwa kama popo au mshikaki.
Tume ya Haki za Binadamu na utawala Bora Tanzania iko wapi ? Kwanini haifungui jalada la uchunguzi ? Mbona hii Tume inashindwa kutimiza wajibu wake wa Kikatiba ? Kama haiwezi kutimiza wajibu wake Ivunjwe na kuundwa upya! Kuna siku itatakiwa kutoa majibu ilichukua hatua gani!
@24onFour@HecheJohn Hukumu za Mahakama ya Rufaa zinafunga mikono Mahakama za chini zote. Sheria sio busara Bali sheria zinatakiwa kufuatwa to the dots .....
Majaji wa Mahakama ya Rufaa waliwafutia hukumu ya kifo iliyotolewa na Mahakama Kuu, waliotuhumiwa Kwa mauaji, sababumaelezo ya Polisi kuchukuliwa Nje ya Muda wa kisheria! Kesi ndogo ya Mbowe,inahusu maelezo kuchukuliwa Nje ya Muda&mateso! Kesho ni hukumu ndogo,tuwahi Mahakamani!
Mechi yetu inayofuata ni dhidi ya Polisi Tanzania🇹🇿 siku ya tarehe 24/10/2021 saa 10:00 jioni katika uwanja wa Mabatini🏟️
"Wakili Msomi tunaomba kale kakitabu tafadhari tunataka tushughulike nao jumla jumla"😅
#NothingCanStopMpapaso