@designermapolo@mshambuliaji Okay, send me your bank Account, I wanna share something with you, and if you don't care, include your phone number, we love people from Tanzania
Kudadeki walahi, hata swali kashindwa kuelewa. Dah!
Hakuulizwa kama Tanzania iko kwenye vikwazo, alichoulizwa ni kwamba, Russia iko vikwazo je Tanzania inatafaya vipi biashara na Russia ambayo iko kwenye vikwazo? Je Tanzania itafanikiwa vipi kuzunguka vikwazo hivyo vya Russia na kufanya biashara?
Alichojibu form 4 failure alieiba Urais kwa kuua wananchi zaidi ya elfu 10, Tanzania haiko kwenye vikwazo. Dah!!!!!
Kaandika mange kimambi โ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธ
Video kwenye comment