@_zackabdul Ccm sio waoga ila niwastaarabu hakuna mwenye timamu anaeonaraha kutukanana mbele ya halaiki huo sio uoga Ni ustaarabu waoga niwale waliotuahidi kulinda kura alaf wameingia mitini
@kitilam @Eric_Bernard94 Kila mwenye timamu zake ameridhika nauchaguzi huu watu wamepiga kura kwa utulivu furaha amani yakutosha anaebisha asubiri hao mnaowaita waangalizi watoe tamko ukiwabishia nawao basi zima datta ulale usitumalizie umeme
@kigogo2014@JosephKakolo@tanpol Ivi wewe unawajua wananchi au ndounaka Yani mhalifu anataka kuchomolewa roho nawananchi alafu yeye huyohuyo apate mda wakupiga cm mpaka defender itoke huko mpaka ije imuokoe bas itakua huyo mhalifu alikua amewateka raia
@JosephKakolo @Eric_Bernard94 Kama Ni uonevu mbona wewe hunauwawa au hao10 ndo wapinzani pekee nchi nzima au wamefuatwa makwao kuuwawa acheni lawama lazma kila mtu ajue wajibu wake huwezi kua tume wewe mara uwe mgambo wewe huyohuyo uwe mpiga kura uwe mrusha mawe wewe huyo daah jamani
@suzywaukweli Yes sio huyo mbibi anaedhani anajua kumbe anaumia sasa leo anakwenda kuzuia watu kupga kura et hataki mtu awe na begi maeneo hayo wekama nani sifa za maumivu