#TajiriLaKihaya
Kwa hii ISSUE ya BUYOBE na Hilda/Mshaba…
Ni kukaa Kimya kwanza 😅
Inaonekana kuna mambo mengi saana BADO hayajawekwa wazi…
Wanashambulia Kwa kuviziana… Kila upande unasubiri Nani aanze kumwaga Mboga wamalizie Ugali🤣
Kila aliekuwa Mentioned BADO hawajatoa vichwa na mtuhumiwa anawakwepa na wenyewe wanamsubir mtuhimiwa awazungumzie ndio wajibu 🤣
Hapa tuendelee kuwa wavumilivu… Nyama zipo chini wanangu…
Tukiona BADO wanaogopana… itabidi tuanze kuchochea pande zote ilimradi tupate picha kamili…
Nahisi kuna kipande kinarukwa na pande zote Kimaksudi kabisaaa!
@iamthatfemale Nikikuoa unakuja kwangu na mto wangu wa njee atakuja kwangu wote nakuwa nawalea nikikuoa wewe uje na mtoto wako nirisk kubwa mana uhusiano ningumu kufa na mzazi wa mtoto pia mtoto mwenye madhara makubwa always anakuwaga alie letwa na mwanamke
@Jmacgoo@kasesco_tz Ulikuwa wapi siku zote kuboresha ? Kama biashara unayo fanya inakupa kipato kile kile kila siku miaka nenda miaka rudi nibora kuachana nayo ukaingia kwenye ajiri
@Jaguar_455@Maestrowafact Usalama akikupeleka police akisema ubaki hapo hutoki hata iweje yani niulizeni mimi😅😅😅😅 dso tu aliniweka ndani zilipigwa simu za kila aina na police walikuwa washikaji zangu bado sikutolewa alipiga simu mkuu wa wilaya bado wakagoma yani ilikuwa kasheshe
@EsirEid Juzi nimeendesha gari kutoka kazungura border ya zambia hadi tunduma zambia nzima hakuna diesel nilipata isingekuwa magari makubwa kunisaidia ilikuwa kasheshe