Naombeni mumseme mtu wetu wa poster
Coz what role does that watch play kwenye hii poster?!😂
Anyways chukueni ujumbe na muwafollow @Geo_Traverse@GeoConstructors
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
https://t.co/bkonJGPQ2J
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Kama uko hapa SGR...JAKAYA MRISHO KIKWETE STESHENI MOROGORO...na unaondoka na Tren ya saa 18:45 kuelekea Dar...Ni Dm tupige tupige story mbili tatu za kimaisha🙏
Ila mtoto wa kiume akifika miaka 15 anaanza kuuliza mama unaenda wapi? Kwanini umechelewa kurudi, nguo zinazovaliwa na mama yake
Kwani hua mnajiona nani 😆😆
Zaburi 121 :7-8
Bwana atakulinda na mabaya yote,atakulinda nafsi yako.Bwana atakulinda utokapo na uingiapo,
Tangu sasa na hata milele.
Nawatakia siku njema 🙏