Hili swala Follow back imekua kipengele sana kwa Waswahili😂 kuna kitu hakipo sawa kabisa,imagine kugonga follow back mtu unakunja!
Wanetu kama nimekufollow show back LOVE kwa Follow back✅ baadae ntawatembelea following wangu wote niangalie nani anavimba🚮
Akina komasava waliwaponza wenzao wanaotekemea kurukaruka kwenye mikusanyiko ya watu ili wapate za kabichi, sasa hivi watu washasahau walikua na wasanii.